mayenga JF-Expert Member Sep 6, 2009 4,118 1,966 Nov 1, 2010 #1 Kutoka Bkb Mjini,bwana Kagasheki amemshinda kwa taabu,mbunge wa Chadema,Wilfred Lwakatare.Lwakatare usikate tamaa,Mungu akupe nguvu.
Kutoka Bkb Mjini,bwana Kagasheki amemshinda kwa taabu,mbunge wa Chadema,Wilfred Lwakatare.Lwakatare usikate tamaa,Mungu akupe nguvu.
T TanzActive JF-Expert Member Nov 14, 2007 367 73 Nov 1, 2010 #2 Ccm wameshinda kata 10,chadema 2,cuf 2 source bongo radio
Consultant JF-Expert Member Jun 15, 2008 11,401 20,661 Nov 1, 2010 #4 Mayenga, weka FIGURES tafadhari
The Finest JF-Expert Member Jul 14, 2010 21,605 6,071 Nov 1, 2010 #5 data plzz pia pole Lwakatare aluta continua tuko pamoja
Juaangavu JF-Expert Member Nov 3, 2009 935 132 Nov 1, 2010 #6 Numbers tafadhali, mkuu Lwakatare pole sana
T TanzActive JF-Expert Member Nov 14, 2007 367 73 Nov 1, 2010 #7 juaangavu said: numbers tafadhali, mkuu lwakatare pole sana Click to expand... ccm wameshinda udiwani kata 10,chadema kata 2, cuf kata 2 ubunge bado wanahesabu source radio bongo radio
juaangavu said: numbers tafadhali, mkuu lwakatare pole sana Click to expand... ccm wameshinda udiwani kata 10,chadema kata 2, cuf kata 2 ubunge bado wanahesabu source radio bongo radio
Gsana JF-Expert Member Aug 28, 2010 4,383 1,321 Nov 1, 2010 #8 Mayenga acha uzushi, ubunge kagera watatangaza saa nane,acha kuchakachua mpaka mawakala wasaini. MATOKEO KWA BUKOBA MJINI BADO.
Mayenga acha uzushi, ubunge kagera watatangaza saa nane,acha kuchakachua mpaka mawakala wasaini. MATOKEO KWA BUKOBA MJINI BADO.
M Mkulima JF-Expert Member Feb 4, 2007 1,034 1,022 Nov 1, 2010 #10 Pole sana Lwakatare, nilikuwa nategemea sana huyu jamaa ashinde. Kumetokea nini huko Bukoba mjini?
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,470 911,173 Nov 1, 2010 #11 Lwakatare usikate tamaa,Mungu akupe nguvu. Click to expand... last time Lwakatare alijichukulia sheria mkononi ni vyema sasa akaamini ya kuwa asiyekubali kushindwa siyo mshindani...........................
Lwakatare usikate tamaa,Mungu akupe nguvu. Click to expand... last time Lwakatare alijichukulia sheria mkononi ni vyema sasa akaamini ya kuwa asiyekubali kushindwa siyo mshindani...........................
Chapakazi JF-Expert Member Apr 19, 2009 2,874 310 Nov 1, 2010 #12 Bukoba wamelala...lakini watapata rais mpya wapende wasipende!
Msanii Platinum Member Jul 4, 2007 22,603 29,746 Nov 1, 2010 #16 Walioichagua sisiemu tusiwatusi maana hizo si kura zao bali za tume ya uchaguzi chini ya uratibu wa wasimamizi wa kura.
Walioichagua sisiemu tusiwatusi maana hizo si kura zao bali za tume ya uchaguzi chini ya uratibu wa wasimamizi wa kura.
K Kikwebo JF-Expert Member Aug 25, 2006 405 204 Nov 1, 2010 #17 The Finest said: data plzz pia pole Lwakatare aluta continua tuko pamoja Click to expand... Hakuna wasiwasi, si Raisi Silaha atamchagua awe Mbunge wa kuchaguliwa!!!!!1!!!!!!!:smile-big::smile-big:
The Finest said: data plzz pia pole Lwakatare aluta continua tuko pamoja Click to expand... Hakuna wasiwasi, si Raisi Silaha atamchagua awe Mbunge wa kuchaguliwa!!!!!1!!!!!!!:smile-big::smile-big:
Baba_Enock JF-Expert Member Aug 21, 2008 7,076 2,443 Nov 1, 2010 #18 Matokeo rasmi ya Bukoba Mjini Ubunge saa nane mchana!
Kingdom Member May 28, 2010 39 13 Nov 1, 2010 #20 Kuna mwenye data za Bukoba vijijini? Kuna Tiba kule