Rock City
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,266
- 501
Mkuu Bramo, ili jinai itendeke, lazima kwanza itanguliwe na "actus reus" kitendo cha jinai (kuyasema yale maneno) yaliyorekodiwa. Aliyerekodi mkanda ule hana hatia "if" mara baada ya kuurekodi, aliufikisha kunakohusika, nao wakawa wanasubiri utekelezaji tuu!. Ila aliyerekodi, anahusika kama "accesory before the fact" kama ni mashirika!. Kitakachofuatia ni kwa aliyerekodi, kukubali ku confess kila kitu kwa kuahidiwa msamaha!. That being the case, siku ya kutajwa tena, DPP ataifuta tena hivyo kesi, na wote wataachiwa, wakishatoka tuu nje ya chumba cha mahakama, watakamatwa tena, ni Rwakatare tuu ndio atafunguliwa mashitaka ya "kula njama za utekaji nyara" na sio "ugaidi", Ludo hatashitakiwa, bali atawekwa chini ya ulinzi(kwa usalama wake), mpaka kesi itakapoanza kusikilizwa!. Atawekwa chini ya ulinzi kwa sababu ndiye atakuwa shahidi wa kwanza wa Jamhuri, P1!.
Ili jinai ikamilike, lazima serikali ithibitishe beyond reasonable doubt kuwa Rwakatare alikuwa na nia ya kuyatenda hayo, (mens rea)!. Rwakatare na alierekodi walikubaliana kuwa wa "act" tuu hiyo movie ya utekaji nyara kwa "sababu", then hakuna kesi!.
Yes DPP anaweza kuamua kuifutilia mbali wakati wowote, bila kutoa sababu yoyote kwa yoyote, kwa sababu hiyo ni sehemu ya mamlaka yake!.
Pasco.
Mkuu, hongera kwa uchambuzi makini.