Lwakatare atakiwa kuachia ngazi kukinusuru chama na kuchafuka

Mkuu Bramo, ili jinai itendeke, lazima kwanza itanguliwe na "actus reus" kitendo cha jinai (kuyasema yale maneno) yaliyorekodiwa. Aliyerekodi mkanda ule hana hatia "if" mara baada ya kuurekodi, aliufikisha kunakohusika, nao wakawa wanasubiri utekelezaji tuu!. Ila aliyerekodi, anahusika kama "accesory before the fact" kama ni mashirika!. Kitakachofuatia ni kwa aliyerekodi, kukubali ku confess kila kitu kwa kuahidiwa msamaha!. That being the case, siku ya kutajwa tena, DPP ataifuta tena hivyo kesi, na wote wataachiwa, wakishatoka tuu nje ya chumba cha mahakama, watakamatwa tena, ni Rwakatare tuu ndio atafunguliwa mashitaka ya "kula njama za utekaji nyara" na sio "ugaidi", Ludo hatashitakiwa, bali atawekwa chini ya ulinzi(kwa usalama wake), mpaka kesi itakapoanza kusikilizwa!. Atawekwa chini ya ulinzi kwa sababu ndiye atakuwa shahidi wa kwanza wa Jamhuri, P1!.

Ili jinai ikamilike, lazima serikali ithibitishe beyond reasonable doubt kuwa Rwakatare alikuwa na nia ya kuyatenda hayo, (mens rea)!. Rwakatare na alierekodi walikubaliana kuwa wa "act" tuu hiyo movie ya utekaji nyara kwa "sababu", then hakuna kesi!.

Yes DPP anaweza kuamua kuifutilia mbali wakati wowote, bila kutoa sababu yoyote kwa yoyote, kwa sababu hiyo ni sehemu ya mamlaka yake!.

Pasco.

Mkuu, hongera kwa uchambuzi makini.
 
Magamba mama yako!!!

wanaojua michango wanajua wapi nimesimamia, at least albine is brave enough to say it na ni kamanda wa chadema sio wewe kimbwenelehi

fcuk you, wazazi wako, mifugo yako (kama unayo), bwanako, na vizazi vyako vyote

sio mnaropoka tu

shenz type

kaka vp tena kwani una subira punguza ukari wa matusi ban tutakukosa.
 
Kwa hiyo yeyote akitungiwa tu tuhuma na wapinzani wake basi aachie tu ngazi kienyeji?

This is nonsense!

Wapo wanaotakiwa kuachia ngazi Tanzania ambao uzembe, ufisadi, kutokuwajibika kwao kumekuwa dhahiri, siyo huyu ambae bado uchunguzi unaendelea kujua kulikoni

unamaanisha DAFIHU pia
 
kaka vp tena kwani una subira punguza ukari wa matusi ban tutakukosa.

kamanda soma alivyonitukana simply kwa kutoa mawazo yangu

unajua mapimbi wengine humu dawa yao ni hiyo tu

a ban will help do other things that watching pimbi kama huyo jamaa hapo juu aendelee kuhukumu watu bila kuelewa misimamo yao

kajamaa kanadhani kila mwenye wazo mbadala ni magamba, kapimbi sana aisee

ni ni mara ya pili sasa kanakatiza mbele ya nuts zangu, and i dont take poops
 
UFUNGUO wa kesi hii uko kwa Ludovick kama kweli yeye ndiye aliye record hiyo video na kuisambaza.

Swala la kuongeza maneno au la katika video halina tatizo hata kidogo kudhibitika kitaalamu kwa sababu mtuhumiwa ameisha kubali kama ile ni sura yake

Kama Ludovick atakubali kuwa shahidi kwa Plea bargain deal, basi Lwakatare atakuwa na wakati mgumu mahakamani kama kuna madudu mengine ambayo aliisha yafanya pia kabla ya hili kutokea kwa vile Ludovick amekuwa embedded pale makao makuu CHADEMA kwa muda mrefu.

Kesi hii ni tamu kwa mwelekeo wa siasa nchini.
 
Unataka proof gani wakati video inayomuonyesha Lwakatare akipanga mbinu za medani za kijasusi ina sauti ambayo kama masikio yako mazuri unaweza kusikia.

Tuchukue mathalani ndio Lwaka mwenyewe na sauti yake, kwa tafsri ya ugaidi ni sehemu gani ktk video lwaka anaonyesha anawakilisha vuguvugu fulani linalopinga uwepo wa serikali halali iliyoko madarakani. Je kinachosemwa kina tofauti gani na mipango ya kulipizana visasi baina ya eatu wawili ....Kubwa zaidi video itakubalika kama halisi -genuine na pia kisheria kama ushahidi. Mscho na masikio yetu si ithibati ya haya, kuna kazi zaidi unavyofikiri
 
Ofcourse, sijasema kama hakuna kazi mbeleni. Sheria zipo na kazi ya wanasheria ni kuzitafsiri na ku-challenge. Kwa sasa tunachofanya hapa ni ku-premeditate kwa kusikia kutoka upande mmoja wakati hata kesi yenyewe haijaanza kusikilizwa.

Ninatumaini kama kesi ikianza kusikilizwa tunaweza kupata picha nzuri zaidi kutengeneza mtazamo mzuri zaidi.
 
Kama anataka Lwakatare ajiuzuru basi pia uongozi wote wa juu wa CHADEMA ujiuzuru pending court case kwa sababu Lwakatare alikuwa anafanya kile ambacho kimekuwa sactioned by CHADEMA machinery.

Huwezi ukawa na kiongozi wa juu mwenye fikra za KISHETANI na systematically anafanya mambo ya KISHETANI bila party high office kufahamu otherwise hiyo ofisi itakuwa haina kiongozi makini.

Alichokuwa anakifanya Lwakatare ni methodical organised.

ungweza kutumia kiswahili katika andiko lako lote na ukaeleweka vema tu, maneno mengi ya kiingereza uliyotumia sio sahihi, sio lazima na wala sio sharti la JF kuwa ili uonekane umeleta mada murua lazima uchanganye kiswahili na kiingereza.
 
Mkuu Bramo, ili jinai itendeke, lazima kwanza itanguliwe na "actus reus" kitendo cha jinai (kuyasema yale maneno) yaliyorekodiwa. Aliyerekodi mkanda ule hana hatia "if" mara baada ya kuurekodi, aliufikisha kunakohusika, nao wakawa wanasubiri utekelezaji tuu!. Pasco.
Ningekuelewa kama angekuwa ametekwa Msaki. Atekwe Kibanda na tena kwa mbinu tofauti na zile za clip halafu mkurupuke kusema ACTUS REUS imetimia! Na kama ni Kibanda motive ni nini? Hii commentary yako imejikita kwenye kutulainisha. Na ule uvumi wa Ludo hayupo magereza
kumbe ni kweli. Ashawekwa under witness protection?
 
ungweza kutumia kiswahili katika andiko lako lote na ukaeleweka vema tu, maneno mengi ya kiingereza uliyotumia sio sahihi, sio lazima na wala sio sharti la JF kuwa ili uonekane umeleta mada murua lazima uchanganye kiswahili na kiingereza.
sikutegemea hata mimi wajuzi wa lugha ya kiingereza kama wewe kama wataelewa maneno ninayotumia lakini ujumbe wangu utakuwa umefika hata kama ni kwa njia iliyokuwa na mashimo ya lugha kwa wajuzi wa lugha wachache kama wewe.
 
Nani aliyekuwa anamtuma lwakatare kufanya ile kazi? Kwa manufaa gani? Kwanini? Ameshamtuma kazi kama hizo ngapi? Mafanikio yake ni yepi? Nini madhara yake?
 
Ningekuelewa kama angekuwa ametekwa Msaki. Atekwe Kibanda na tena kwa mbinu tofauti na zile za clip halafu mkurupuke kusema ACTUS REUS imetimia! Na kama ni Kibanda motive ni nini? Hii commentary yako imejikita kwenye kutulainisha. Na ule uvumi wa Ludo hayupo magereza
kumbe ni kweli. Ashawekwa under witness protection?
Mkuu Azipa, ili kosa litendeke (actus reus), sio lazima action itake place, ule tuu uwepo wa nia ya kutenda jinai, (mens rea), na kupanga kuitenda "attempted abduction" ni kosa tosha, kama ilivyo "attempted murder" hata kama kifo hakikutokea. Kwa kesi ya Rwakarare, the "actus reus" yaani kitendo ni yale matamshi!. Hata mkimtishia mtu kwa maneno tuu "nitakuua!", tena kwa utani, kama kuna mtu jirani alisikia, uliemtishia akikushitaki, na shahidi akatoa ushahidi, unaweza kula mvua!.

Ya Kibanda ni mengine!, kwa vile kuna dots zinamconnect Kibanda na Ludo, ikitokea ni kweli Ludo has a role, kwa polisi wetu walivyo na uwezo mdogo, wanaweza kutumia "generalization" ya "aliyekutwa na ngozi, ndiye aliyekula nyama" hivyo msije shangaa kibao kikageuka!.

Ludo hayupo magereza kwa sababu za kuhojiwa, na hata aki confess pia nako ni kuhojiwa!, uwezekano wa kukiri na kugeuka witnes upo!. Wenye kumbukumbu ya ile kesi ya uhaini ya mwaka 82, mwanzo walikuwa washitakiwa 42, baadaye wakabaki 23, hao wengine wakafanywa ndio ma PW's.
Pasco.
 
ungweza kutumia kiswahili katika andiko lako lote na ukaeleweka vema tu, maneno mengi ya kiingereza uliyotumia sio sahihi, sio lazima na wala sio sharti la JF kuwa ili uonekane umeleta mada murua lazima uchanganye kiswahili na kiingereza.
Sii kweli, kuna maneno ni rahisi zaidi kuyatumia kwa Kiingereza kuliko kwa Kiswahili!. Kuna watu wamepiga shule humu hadi hufikiri kwa Kiingereza, you know you know nyiingi, inifwakiti, wengine hata kucheka, wanacheka kizungu!.
Mfano hebu tutafasirie haya
pending court case
sactioned by CHADEMA machinery.
systematically
party high office
otherwise
methodical organised.

Pasco salama ndugu yangu ! siku nyingi hatujaonana sasa.

katika kujibu ulichouliza , binafsi nimekosoa matumizi ya maneno ya lugha ya kiingereza katika maeneo ambayo yanashindwa kuleta maana stahili na kwa wataalamu wa lugha ni kuwa kwa structure iliyotumika , yanaharibu maana semantically ( the manner on which the word was reffered in a phrase).

Mwisho tu bado kiswahili kingetumika kueleza mantiki ya mtoa mada bila kuchanganya lugha ya kigeni amabyo naamini bila shaka imekosewa katika structure na uundaji wa sentesi ili kuleta maana tarajiwa.
 
Kama tuhuma zinzomkabiri zingekuwa japo na 2% ya ukweli angekuwa sahihi!!!

Kama ndo mission yao hiyo imekula kwao!! "Lwakatare ndie Afsa usalama CDM Taifa!!!" Otherwise mjinyonge!!!

kaka hakuna wa kujinyonga bali lwakatale ndiye wa kunyonga kwa mipango yake ya kigaidi then anafuata mbowe make ndiye anayemtuma kufanya ugaidi
 
lwakatale hutumwa na mbowe pamoja na slaa na wamefanya matukio mengi sana ila mungu ameamua kuwaumbua mfano lwakatale akiwa cuf kabla ya kujiunga chadema alipanga na kutekeleza mauaji ya kijana mmoja pale temeke dsm
 
Mkuu Azipa, ili kosa litendeke (actus reus), sio lazima action itake place, ule tuu uwepo wa nia ya kutenda jinai, (mens rea), na kupanga kuitenda "attempted abduction" ni kosa tosha, kama ilivyo "attempted murder" hata kama kifo hakikutokea. Kwa kesi ya Rwakarare, the "actus reus" yaani kitendo ni yale matamshi!.
Pasco.
Sawa njama ni jinai. Lakini Mwigulu alidai ana vielelezo vya hizi njama je hakuwa na wajibu wa kisheria wa kuvipeleka polisi? Au hata hao polisi walifanyia kazi hiyo taarifa ya Mwigulu considering that it was covered on a national TV. What happened to dectection and prevention of crime? Mwigulu aoneshe hivyo vielelezo vyake kama anataka tusimshakie kwamba naye alikuwemo kwenye hiyo njama
 
Pasco salama ndugu yangu ! siku nyingi hatujaonana sasa.

katika kujibu ulichouliza , binafsi nimekosoa matumizi ya maneno ya lugha ya kiingereza katika maeneo ambayo yanashindwa kuleta maana stahili na kwa wataalamu wa lugha ni kuwa kwa structure iliyotumika , yanaharibu maana semantically ( the manner on which the word was reffered in a phrase).

Mwisho tu bado kiswahili kingetumika kueleza mantiki ya mtoa mada bila kuchanganya lugha ya kigeni amabyo naamini bila shaka imekosewa katika structure na uundaji wa sentesi ili kuleta maana tarajiwa.
Watu kama wewe mnaojifanya 'wasomi' wa Tanzania hakuna lolote. Wewe umeona makosa tu kwenye kingereza. Hebu niambie, kwa usomi wako unaodai, ni makosa mangapi ya watumia kiswahili kisicho na structure wala semantic katika uzi huu umebainisha hapa na umewaomba waandike kwa lugha zao kwa vile kiswahili chao hakileti maana.

Watu kama wewe mnaposhindwa kujibu hoja, mnakimbilia kutafuta vijisababu vya kitoto mkidhania kwa kufanya hivyo, mleta bandiko atakuwa subservient. kwangu ni sawa na kupiga ngumi kwenye mwamba. Been there, done that.

Usipoteze muda wako. Jibu hoja, kama sina hoja, press next button. FINITO.
 
Back
Top Bottom