Lwakatare atakiwa kuachia ngazi kukinusuru chama na kuchafuka

Inasikitisha; Ludo na Lwaka wameisaliti Chadema na bado Chadema inawakumbatia wasaliti badala ya kuwavua vyeo/uanachama ili kuwa on safe side.

Very simple, Chadema walitakiwa wawe na benefit of doubts kwamba Ludo na Lwaka yawezekana wameamua kusaliti Chadema. Chadema wameamua kuifanya kesi kuwa ya chama bila kuona uwezekano wa Ludo na Lwaka kuwa wame fanya independent of Chadema.

Tatizo ni kwamba Chadema inakosa machine ya utafiti na badala yake wanavizia opportunity ya makundi yanayokizana ndani ya CCM kupata public sympathy. Janja hii haitakisaidia Chadema maana mwisho wa siku CCM will sort itself out.

Ukosefu wa machine ya utafiti umefanya Chadema ilazimishe kubadiri kesi za ugoni za Kibanda na Ulimboka kuwa kesi za kisiasa ata kama waliopigwa na kuteswa wanaomba mateso yao yasihusishwe na siasa. Inasikitisha kuona chama ambacho kingeisikisha adabu CCM kikikosa kichwa na mkia. Inasikitisha.
 
Na Albinei Marcossy Wa Taasisi ya Raia na Haki za kisiasa na mwenendo wa Bunge( CPRW) amemtaka Mkuu wa usalama wa CHADEM wilfred Lwakatare kujiuzulu mara moja ili kupisha uchunguzi huru kwa jeshi la polisi.Pia kujiuzulu kwake kutasaidia kukiepusha chama na kuchafuka machoni kwa waanchi.
Kupitia Vyombo vya habari amesisitiza kuwa,Kitendo cha Lwakatare kuendelea kuwa mkuu wa usalama wa chadema na huku anamashitaka ya Ugaidi ni doa kwa chama na hakuleti picha nzuri kwa kuzingatia misingi ya utumishi.

je ya kwake ya mafichoni kayamaliza au ndio mwanya wa yy kujiokoa na mkono wa sheria, alibeba bango akiomba auawe ili wagonjwa wapone, leo vp mbona anajificha?

Lwakatare sio mtumishi wa serikali hana chochote cha kuingilia ktk uchunguzi wa polisi, kila mtu afanye kazi yake,
 
pumbavu tu huyu jamaa kalewa tu na vyeo vya kupewa na magamba. statisticaly show that this person is ccm member proven by 99% level of significance.
 
Inasikitisha; Ludo na Lwaka wameisaliti Chadema na bado Chadema inawakumbatia wasaliti badala ya kuwavua vyeo/uanachama ili kuwa on safe side.

Very simple, Chadema walitakiwa wawe na benefit of doubts kwamba Ludo na Lwaka yawezekana wameamua kusaliti Chadema. Chadema wameamua kuifanya kesi kuwa ya chama bila kuona uwezekano wa Ludo na Lwaka kuwa wame fanya independent of Chadema.

Tatizo ni kwamba Chadema inakosa machine ya utafiti na badala yake wanavizia opportunity ya makundi yanayokizana ndani ya CCM kupata public sympathy. Janja hii haitakisaidia Chadema maana mwisho wa siku CCM will sort itself out.

Ukosefu wa machine ya utafiti umefanya Chadema ilazimishe kubadiri kesi za ugoni za Kibanda na Ulimboka kuwa kesi za kisiasa ata kama waliopigwa na kuteswa wanaomba mateso yao yasihusishwe na siasa. Inasikitisha kuona chama ambacho kingeisikisha adabu CCM kikikosa kichwa na mkia. Inasikitisha.

Mkuu unaonekana ni mgumu sana kuelewa.
Hv kama kweli Lwakatare angekuwa ni sehemu ya hii movie angekubali kutetewa na akina Lissu????
Na kama ni kweli alihusika kwann akina Mwigulu wasinge pika Watetezi wake mapema kuzugiwa???
Kwan amelazimishwa kutetewa na akina Lissu????
Nadhan kwa akili yako hujajua bado na huwezi kujua ni kwa nn Machinery ya CDM imejitolea kumtetea Lwaka.
Think Big.....
 
Kama unachosema ni ukweli kwanini shushushu wa Dr Slaa, Ludo anaachwa bila kuwa na wakili? Inaingia akilini watuhumiwa wawili wa Chadema lakini moja anatoswa, tena mwana usalama?
 
Na Albinei Marcossy Wa Taasisi ya Raia na Haki za kisiasa na mwenendo wa Bunge( CPRW) amemtaka Mkuu wa usalama wa CHADEM wilfred Lwakatare kujiuzulu mara moja ili kupisha uchunguzi huru kwa jeshi la polisi.Pia kujiuzulu kwake kutasaidia kukiepusha chama na kuchafuka machoni kwa waanchi.
Kupitia Vyombo vya habari amesisitiza kuwa,Kitendo cha Lwakatare kuendelea kuwa mkuu wa usalama wa chadema na huku anamashitaka ya Ugaidi ni doa kwa chama na hakuleti picha nzuri kwa kuzingatia misingi ya utumishi.

Hakika hapo kanena, inashangaza sana kuona LWAKATARE anaendelea kung'ang'ania
 
Siku zite nasema watu kama hawa are the one to be hanged. Anachokiengea hakieleweki kabisa in all. Waacheni wafanye watakavyo 2015 Chadema itashinda na ni hakika nawaambieni. Natembea vijiji na vijiji Chadema ni inatisha. Na nashangaa CCM ni hakuna kbisa watu wenye akili kamilifu za kukemea uovu unaifanywa na hawa makada wao?? Is it true All CCM aka Magamba wako happy na huu unyama akina Rama nk wanafanya na wanaendelea kudunda mitaani???
 
Hapa hakuna mtu wa kuachia ngazi nakwambia hapa ni tunakwenda na mwendo huu huu mpaka kieleweke!

Na Albinei Marcossy Wa Taasisi ya Raia na Haki za kisiasa na mwenendo wa Bunge( CPRW) amemtaka Mkuu wa usalama wa CHADEM wilfred Lwakatare kujiuzulu mara moja ili kupisha uchunguzi huru kwa jeshi la polisi.Pia kujiuzulu kwake kutasaidia kukiepusha chama na kuchafuka machoni kwa waanchi.
Kupitia Vyombo vya habari amesisitiza kuwa,Kitendo cha Lwakatare kuendelea kuwa mkuu wa usalama wa chadema na huku anamashitaka ya Ugaidi ni doa kwa chama na hakuleti picha nzuri kwa kuzingatia misingi ya utumishi.
 
Taswira kamawambie marcusy kuwa pale lumumba kuna muvi nyingine tano zinasubiri directa mwigulu atupie moja moja kwenye mtandao!
 
Inasikitisha; Ludo na Lwaka wameisaliti Chadema na bado Chadema inawakumbatia wasaliti badala ya kuwavua vyeo/uanachama ili kuwa on safe side.

Very simple, Chadema walitakiwa wawe na benefit of doubts kwamba Ludo na Lwaka yawezekana wameamua kusaliti Chadema. Chadema wameamua kuifanya kesi kuwa ya chama bila kuona uwezekano wa Ludo na Lwaka kuwa wame fanya independent of Chadema.

Tatizo ni kwamba Chadema inakosa machine ya utafiti na badala yake wanavizia opportunity ya makundi yanayokizana ndani ya CCM kupata public sympathy. Janja hii haitakisaidia Chadema maana mwisho wa siku CCM will sort itself out.

Ukosefu wa machine ya utafiti umefanya Chadema ilazimishe kubadiri kesi za ugoni za Kibanda na Ulimboka kuwa kesi za kisiasa ata kama waliopigwa na kuteswa wanaomba mateso yao yasihusishwe na siasa. Inasikitisha kuona chama ambacho kingeisikisha adabu CCM kikikosa kichwa na mkia. Inasikitisha.

hilo hawataki kuliona na ukweli kama huu hawataki kuusikia kabisa hawa CDM sijui kwa nini
 
je ya kwake ya mafichoni kayamaliza au ndio mwanya wa yy kujiokoa na mkono wa sheria, alibeba bango akiomba auawe ili wagonjwa wapone, leo vp mbona anajificha?Lwakatare sio mtumishi wa serikali hana chochote cha kuingilia ktk uchunguzi wa polisi, kila mtu afanye kazi yake,
kwani uchunguzi wa huru una uhusiano wowote na kuwa mtumishi wa serikali au la? kitendo cha kuendelea kuwa na wadhifa ni kikwazo kwani kinazuia uwezekano wa kupata taarifa muhimu
 
ukiona hivyo ujue polisi wameshindwa kazi yao, kuwa mtumishi wa umma ina influence kubwa ya kuingia popote na kubadili taarifa. lkn yy kuwa na wadhifa haina uhusiano wa moja kwa moja kwani hata video yenyewe inaonekana alirekodiwa nyumbani kwake, ambako tayari wamefanya upekuzi.

kama wameshinwa kazi wamtafute FBI/CIA wawasaidie, watawapa data zote wakati jamaa yuko ofsini
 
Ni muhimu sana. Binafsi nashangaa kwa nini CHADEMA hawakumsimamisha Lwakatare mara alipopatikana na hii tuhumu kubwa. Ilikuwa ni muhimu CHADEMA kumwengua Lwakatare na kuanzisha uchunguzi wao huru. Bila kufanya hivi inatoa taswira kwamba walikuwa wanajua kilichokuwa kinaendelea na tuhuma hizi inakuwa rahisi kuzihusisha na chama, na iso Lwakatare pekee.

Sasa CHADEMA watatoa wapi moral authority ya kuwataka kujiuzulu viongozi wa serikali na CCM watakaokuwa wanatuhumiwa kwa mambo mbalimbali kama ufisadi?
Naomba tuvumilane kwa sababu JF ni sawa na kijiji ambamo hata wenye uwezo mdogo wa kufikiri wanaruhusiwa kuishi.
Kwa mtu anayetumia muda wake vizuri kufikiri mambo kabla ya kuongea au kuchangia hoja angefikiria haya;
  • Kwa nini jeshi la Polisi lililazimika kuvunja sheria na kumshikiria kwa muda ambao alitakiwa awe amekwishafikishwa mahakamani?

  • Kwa nini Lwakatare awe na mawakili wengi vile wakati Ludovick kaachwa na yeye ni CHADEMA?

  • Kwa nini mkurugenzi wa upelelezi aliamua kumfutia makosa?

Ukweli utajulikana soon.Hatutakiwi kubishana na wenye ubongo mdogo kama wa kuku.
 
Munataki ajiuzulu ili muchongo wenu uonekane ni wa kweli.

Wapumbavu watafikiria hivyo, lakini wanaojua maana ya siasa, is a shame for CDM, hebu fikiria kashfa kama za BILL CLINTON zilivyokuwa tatizo kwake na kwa chama chake, kisa mapenzi what about Terrorism my dear? usilete ushabiki humu JF nyie mnaua chama kwa ushabikiti wa kipumbavu
 
Back
Top Bottom