MgonjwaUkimwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 1,336
- 875
Inasikitisha; Ludo na Lwaka wameisaliti Chadema na bado Chadema inawakumbatia wasaliti badala ya kuwavua vyeo/uanachama ili kuwa on safe side.
Very simple, Chadema walitakiwa wawe na benefit of doubts kwamba Ludo na Lwaka yawezekana wameamua kusaliti Chadema. Chadema wameamua kuifanya kesi kuwa ya chama bila kuona uwezekano wa Ludo na Lwaka kuwa wame fanya independent of Chadema.
Tatizo ni kwamba Chadema inakosa machine ya utafiti na badala yake wanavizia opportunity ya makundi yanayokizana ndani ya CCM kupata public sympathy. Janja hii haitakisaidia Chadema maana mwisho wa siku CCM will sort itself out.
Ukosefu wa machine ya utafiti umefanya Chadema ilazimishe kubadiri kesi za ugoni za Kibanda na Ulimboka kuwa kesi za kisiasa ata kama waliopigwa na kuteswa wanaomba mateso yao yasihusishwe na siasa. Inasikitisha kuona chama ambacho kingeisikisha adabu CCM kikikosa kichwa na mkia. Inasikitisha.