Kama anataka Lwakatare ajiuzuru basi pia uongozi wote wa juu wa CHADEMA ujiuzuru pending court case kwa sababu Lwakatare alikuwa anafanya kile ambacho kimekuwa sactioned by CHADEMA machinery.
Huwezi ukawa na kiongozi wa juu mwenye fikra za KISHETANI na systematically anafanya mambo ya KISHETANI bila party high office kufahamu otherwise hiyo ofisi itakuwa haina kiongozi makini.
Alichokuwa anakifanya Lwakatare ni methodical organised.
Sasa wewe Magamba a.k.a Mbulula, ndo tuseme wewe ni mahakama kumhukumu yeye na chama. Najua una akaunti nyingi kwa majina tofauti hapa JF kwa lengo la kupotosha umma. Hicho ni choo cha kike. Hajiuzulu mtu na kesi itawaumbua. Mwambie shoga yako kuwa nafasi yake ya kazi pale BOT imeshajazwa. Sijui baada ya October 2015 ataenda wapi. Anakaribishwa na Mzee Yusufu akasaidie kuimba korasi. Ila haruhusu ule ushungi anaouvaa shingoni