LV handbag for sale

lily91an

Member
Jul 30, 2013
19
1
contacts 0719681821
50,000tsh.wa mikoani watatumiwa either kwa wateja wa jumla au rejareja.wa mikoa ya moro,njombe,songea,moshi na arusha usafirishaji ni buureeee.
 
Sure Dina. Hebu am wage mapicha basi tujiridhishe kwanza na ubora.
 
Last edited by a moderator:
Mi sina hamu na hivi vi LV sijui vi Gucci. Its all Chinese garbage!
 
Hivi hapa Bongo unawezaje kujua LV ipi ni gunuine na ipi ni feki zaidi ya bei?
 
Hakuna genuine hapa, hata kama laki ngapi. LV is one of the very high-ends products so far Bongo hawana retail outlets maybe S.A na bei zake ni thousands of dollars...weza uza gari yako ndo uweze nunua handbag moja.
 
ni kawaida kwa wadada wa kitanzania Kujishaua na "designer stuffs" wakati wakiparamia cheap knockoffs. Mbaya zaidi ukutane na huyo mhusika jinsi anavyofanya all the effort uone Louis VITTONI' (LV) yake.

its both pathetic and irritating.
 
Sure Dina. Hebu am wage mapicha basi tujiridhishe kwanza na ubora.

weka picha


v75kR26675.jpg
 
Back
Top Bottom