Luxury Cars stolen from UK: SFO in action

Sasa mmeambiwa yuko kwenye EPA vile vile,akimalizia kifungo UK serikali ya jamhuri nayo inamfungulia mashtaka.
 
wewe bwana na wewe saa nyingine una sound kama wale wapiga ngoma za mchiriku unajua...ugggggggggh!....

Na ninasema tena Leave hima lone sema hujapata hiyo opportunity basi mnamshambulia....yeye mpojoli has to do what a man has to do kulisha familia yake he as a year to go na akitoka utamuona anadunda tuu mwenzio sasa hivi ana aprtment building kajenga bongo na anaingiza bado hela yake...na bado biashara zake zingine halali wewe jee?what do you have kukaa jf na kumuongelea yeyeye hahahaha that is a loose loose situation!...gadammit!..

watu mnamshupalia kaka wa watu kama pilipili bwana....you need to get a life this is gadam 2009./...wewe unadiscuss vitu vya mwaka 2007...hebu nendeni na wakati kudadake.

Kelly, mbona unajisahau sana dada?

Unakumbuka ulishawahi kuandika wewe mwenyewe kwenye thread hii https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/24859-i-am-scared.html yafuatayo:

Living in the city is so fun and everything is so nearby..I love the city because I am a city girl….I used to party a lot lot like there is no tommorow...but since 2006 i have been so laid back just stay home watch movies,read books or dine out..... 3years ago I decided to buy me a place to the suburbs where is quite and safe compared and the city you know..so i moved from the city to the surburbs…..

Recently i came to find out watu wengi sasa hivi wanahamia surburbs from the city and majority ni Latino’s. I was like okkkk! I am not racist or like that but I just not trust these people….

Like a month ago I was in my place chilling watching my movies as usual on saturday morning..then I hear a knock at my door I was so shocked since I am not used to wageni or the knock at the door.Nikachungulia nikamuona jirani yangu next door I was like what does he want?/uuugh!…remember me and my jirani ni tunaonana tuu at the parking lot but never spoke for 3 years.I opened the door he goes.. have you checked ur storage? I am like no why? Akasema kuwa somebody tried to break in I guess since storage yake pia ilikuwa umevunjwa akaona aniambie maana alikuwa ameibiwa vitu kwenye storage yake (important stuff),I checked mine and everything is in place hakuna kitu kilichoibiwa.I called the office to let them know..during the board meeting watu wakaanza complain, kumbe a lot of people storage zao zimevunjwa na wengi wameibiwa vitu vyao ,that means kuna vibaka wameingia in town...

Oh well since sikuibiwa kitu I never cared…guess what? This morning as I was walking toward my car..nikaona mlango wa gari upo a little bit open naangalia nikasema mmh!.. I know I locked my door jana…nashika mlango upo wazi naangalia ndani wooooooo dash board imevunjwa vunjwa kisa walikuwa wanataka kuiba stereo ya gari…huwa natakiwa kuitoa lakini for 3 years nilizokaa pale sijawahi kuitoa hata siku moja unless nikiwa naenda city.
The thing is Hawakuweza kuitoa stereo yenyewe I guess hawajui au walikuwa na haraka…lakini ni wameharibu ile mandhari ya gari kabisa wamevunja vunja vunja kila kitu the whole thing on the front na kuweka pembeni (nyanganyanga )gari haifai tena haina hata radha), wamechomoa hadi AC/Heater na hili balidi mbona kasheshe imenipata driving this morning kuja kazini.I called the police to make a report…..

It seems like somebody has been watching my moves or somethinfg...Actual I am now really scared nisije nikaingiliwa usiku…oh well I need a prayer!...i don’t think I am safe….Na since sijui who is doing this I am really scared and shaking…

I thought i should share my tragedy of this morning!...i think i am going to be sick na baridi niliyopigwa leo...how could somebody do this to an innocent creature like me eeh i am a good people.

-- Hukuona kama hao jamaa nao walikuwa wanatafuta opportunity yao kwa namna moja au nyingine?
-- Hukuona kama hao (Walatino) walikuwa wanatafuta tujisenti twa kutuma makwao tu kusaidia ndugu zao?
-- Huoni kama hao wanaoibiwa magari asilimia yao kubwa yaweza kuwa ni akina mama na kuwa ni "innocent creature" kama wewe tu?

-- You shared your tragedy with us, we sympathized and we were sorry for that experience. Remember, the fear that entails when someone is struck by such an experience can be a lasting one, it can go to ruin someone's life when the level of endurance is low and when help is afar.

Kuna mengi ya kusisimua na kusikitisha katika tukio lililokukuta wewe kama ulivyo lielezea. Lakini naamini pia wale wanaoibiwa magari huko Uingereza nao walipatwa au wanapatwa na adha sambamba au hata kubwa kuliko zilizo kupata wewe. Where is that caring Kelly01 that we are all compelled to believe you happen to coexist in with?? :(


Get married quick! you need a man in your life to scare these thugs off otherwise next time wakija yanaweza kuwa makubwa zaidi!
Theres no better lock than a man! Why sleep with a phone while there a lots of single guys out there who can protect you for free? Hao jamaa wakijua tu una kidume ndani ya nyumba hawatakusogelea!

KKN, habari ndiyo hiyo... na huko uingereza matukio hayo yanakotajwa hata huyo man asingeweza to scare off them thugs nje ya garage yake wakimchomolea chuma cha moto, sembuse dada Kelly!!

Again, kama nilivyosema hapo mwanzo mwanzo kwenye thread hii, msisitizo wangu uko kwenye matukio yenyewe badala ya huyo mhusika. Ahsanteni.
 
Mwanamme mmoja anajipigia tarumbeta, anamwambia mwanamke, kufuli salama kuliko yote ni kuwa na mwanamme. Ndio dawa, maana utaogopwa, hutasogelewa, ilhali kuna wanaume wengi walio kapera.

Mwanamme mwingine anajibu: Habari Ndio Hiyo.

Tuko mbali kweli Waafrika na mifumo dume yetu ya toka Bonde la Ufa. Tunatia huruma.
 
Mwanamme mmoja anajipigia tarumbeta, anamwambia mwanamke, kufuli salama kuliko yote ni kuwa na mwanamme. Ndio dawa, maana utaogopwa, hutasogelewa, ilhali kuna wanaume wengi walio kapera.Mwanamme mwingine anajibu: Habari Ndio Hiyo.

Tuko mbali kweli Waafrika na mifumo dume yetu ya toka Bonde la Ufa. Tunatia huruma.


002_G
 
Back
Top Bottom