Luteni Kanali analea Mtoto Wangu.... Nyie wanawake HATaRiiiii!!!!

Hawa watu wanaojidai kuwa wenzao wanalea watoto wao, wakati wenyewe hawana cha kuonesha, wengi wana bunduki zisizo na risasi. Ukimuuliza mbona hadi leo yuko single (mvua kibao) anakwambia mie wanawake nawaona noma eti kwa sababu nimezaa na wengi ni wake za watu.

Ogopa sana watu wanaojinasibu na vistori vya namna hii. Wengi hawajiwezi kabisa au kama wanajiweza wanajijua bunduki zao ni mlio tu, hivyo wanaogopa siku wakiingia kwenye ndoa mambo yatabumbuluka. Kwa hiyo wanabaki ni wazee wa stori tu mtaani.
 
hata mie naamini hivyo,wengi wanaona ujanja wa kutembea na wake za watu ndio njia ya kufunika udhaifu wao....
 
Haka kajamaa ni kajinga.We si huwa unaskia kwamba 'damu nzito kuliko maji' .mtoto wako mwenyewe alelewe kwingine kama yatima, a.k.a hana baba.Na unadai ukikumbuka huwa unacheka. SHAME ON YOU! naona hujawa mwanaume bado, we bado ni mvulana mdogo kichwani mwako, na siku ukikua, ndo utakurupuka vibaya sana.Some people graduate but they are still stupid, alijisemea Kanye West. Change your attitude! Cause its now or never!
 
njoo mchukue mwanao ati ameshakuwa mkubwa . yaani huwezi kumkataa kwa jinsi alivyofanana na baba yake .
huyu hapa .

533086_208200412630857_100003226988343_350919_1530047102_n.jpg

kwa hili jf is never boring source The Boss
 
Last edited by a moderator:
Kuna great thinker aliwahi kutoa thread ya wavulana na wanaume. Sasa wewe Pasco junior kwa huu uzoefu wako uliouelezea hapa unadhani unaangukia kwenye kundi lipi kati ya hayo mawili.
 
ww pasco jr,, huyo luteni kanali ana umri gani??

Kama alikua boyfriend wa zamani wa huyo ex wako, ambaye by then alikua 21, basi alikua anatembea na mtu mzima sana.., yani sijaona lt.col. below 40, sasa nashindwa elewa unaposema alikua bf wa huyo bibie at tht age!!
 
Back
Top Bottom