Luteni Kanali analea Mtoto Wangu.... Nyie wanawake HATaRiiiii!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Luteni Kanali analea Mtoto Wangu.... Nyie wanawake HATaRiiiii!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pasco_jr_ngumi, May 6, 2012.

 1. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Duuuuu...
  Hiki kisa cha maisha yangu ya MMU nikikaa pekee yangu, naishia kuchekaa!!! Kweli wanawake wanaweza, nawaheshimuuuu bana, kongosho, smile, mwali,.... Mko wapi???

  2007 nilikuwa na gf tukakorofishana k2 kidogo... Najua utoto cjuw... Bt i was 26..
  Nikampga chini, mwez feb, akanibaka!! Yaan alinilazimisha ku-do....

  Alienda lodge akapanga chumba, she waz 21..oops... Akanisumbua kwa cm hadi nikaona niende,,, haaaa,, nikaenda kwa michezo ya Mourinho!!! Nikajpanga cmtak hata kumuona.... Kanisumbua, aaaa wapi

  Then nikaenda chuo... Mmmmmm, narudi likizo,nashangaaa mfanyakaz mmaamaaa anaanza kuniita baba fulani, nilijuwa utaniii


  Kumbe yule bint alikuwa na mimba, alipoona nimetosa alienda kwa bf wa zamani akapanga mipango ya ndoa, wakaoanaa..... Miez michache akajifunguaaaa

  Mimi cna mpango wa kumtafta, after all poti kamjengea nyumba na kumnunulia gari  Tatizo, huyu bint kameanza kunisumbua, nilienda kumuona cku moja, akafurahi, tena akawa anamwambia yule mtoto msalimie baba yako.... Loooo

  Mimi nikabak kuduwaah..... Tena anauliza umeoa, nataka unioe!!!! Jamanii

  Akikaa akpiga simu anasema ongea na mwanao, and the baby boy anaanza kusikika!!!!  BTW: vijana wadogo zangu heshimu wanawake.....wana siri nzito mioyoni!!!!
  Mi hapa ni kuuchuna principal, ctak kumuona tena, hata cm zake nazkwepa. Ctak kuharibu maisha ya poti..... Maumiv ya mapenz ni mabaya!!!!

  Binafs, cna mke wala mtoto!! Nawaogopa, nakula kwa style ya Ali Kiba
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  sasa ulipata wapi ujasiri wa kwenda home kwake? na je huyo afande alikuwa wapi? na je ulimuuliza kama huyo afande anajua kuwa mtoto siyo wake? na je ukimuangalia kunakitu unachohisi moyoni juu ya huyo mtoto? jibu haya halafu mimi kama mama nitupa ushauri
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  kicheche!!
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  You are 31 and still a kid?!
  Growing old is mandatory, growing up is an option.
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  hii ni moja ya maudhui ya hadithi za shigongo iitwayo "the woman secret'
   
 6. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Cku ya kwanza alikuwa mtoto sanaaa.... Cjuw kwa nn nilikuwa na ujasiri nikafika hadi kwao!!!!!!

  Lakin mwaka huu nilienda nikiwa kwa matembezi, nilipofika kwenye saloon flan, nikakutana nae...

  Alipomwambia anisalimie mimi baba yake... ndio hapo, nimejifeel vbayaaa!!! Nilipompakata na jins alivyorespect yule mtoto, jamaaan!!!!!

  Ninachopata wacwac, hawajapata mtoto mwingine!!!! Wakati kabla ya hiii mimba, nilimpachka nyingine, akatoaaaaa.....

  Usinisjauri kuingilia mambo yao.... Waishi milele na furaha plz
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mna kazi kwa kweli wadada, kama ndo vijana wa mjini wako hivi?
   
 8. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ukiona nyani zeee ujuwe michaleee nyingi imekwepaaa..... Maumiv ya MMU yamenipa mwanga mpya wa maishaaa... Strugling in jungle: Money & Ed..... Naandaa hiki kitabuuu!!!
   
 9. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mmm... Yaaan waschana wa cku hiz ni wa fb, twitter and bbm....... Ni hatariiiiii, LuluLism Era!!!!!! Wasalimie akina Saint Ivuga, MtiMkavu.....
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  this is a story of an immature man
   
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  wewe pasco jr ngumi, kwanza sina haja ya kukushauri uingilie ndoa yako ila ninataka nikupe mchambo uchambike, wewe ni miongoni mwa irresponsible men ambao huwa kwao wanapenda wakung'ute vichupa vyao na kuendelea na maisha. tabia hiyo ni mbaya sana na itakugharimu sana, hivi kama mwanaume unajiskiaje kazi ya guvu zako uliyoitolea jasho, Mungu akaibariki ikazaa matunda ya mtoto halafu mtt akaishi kama mtumwa? hivi umeshawahi kuskia baba kamuua mkewe na mtoto? kama uliskia wa kwanza basi huyu mwanao atakuwa wa pili na kaa uliskia wa wawili basi huyu atakuwa wa tatu. Ni hatari sana kwa mtoto na hata kwako pia. Mtt anaish maisha na mtu ambaye hajui uande wa pili wa shiling sasa wewe endeleza mawasiliano siku agundude utakiona cha mtema kuni. na Mungu usishangae akakunyima mtoto mwingine manake umeshindwa kuwa responsible kwa amana aliyokupa mwanzo sasa je akuongezee nyingine?
   
 12. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hujanichamba.... Alwayz naheshimu logic argument, hata iwe chungu kama mwarobaini!!!!!!
  Umenipa ushauri mzuriiiiii

  Mbwa hazomei yaliyopta, tugange ya keshoooo!!!!

  Kidumu Chama cha........ Cjuw wew uko C..M gani?????


   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu, dont bite your tongue

  he is a waste of a man.... hata mwanaume aweje, au afanyaje duniani, hawezi kujisifia kwa kulala na mwanamke wa tu, hata kama anafanya usiku na mchana

  na anasahau laana kubwa zaidi, huyo mtoto (kama ni kweli) ni zao la maisha yote ya uhai wake

  Atajisikiaje leo hii akiambiwa na mama yake kwamba yule baba anayemjua yeye sio wake ila babake ni fulani na alipatikana kwa mama kulalwa mtaroni wakati anasindikiza wageni au kaenda kuteka maji?>???

  maturity distibuishes a man from a little boy

  what a waste to his parents
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  sasa naelewa kwa nini wanawake wanatoa mimba......
   
 15. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  hivi ni kweli kwa umri uliokuwa nao by that time huyo dadaalikubaka( alikulazimisha ku du)? Muogope mungu,maana kama usingekuwa tayari kufanya nae mapenzi mtalimbo usingesimama!isitoshe alikupigia simu, akakuelekeza mpaka lodge alipo, ukaenda mwenyewe ukiwa na fahamu zako-kwani hukujua lodge kunafanywa nini?kwa nini hakukuita hata kwenye restaurant?

  Hebu usitufanye watoto hapa
   
 16. D

  Di biagio Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenyewe unajiona mjanja kumbe ...tu
   
 17. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,183
  Likes Received: 3,411
  Trophy Points: 280
  Hivi bongo hamna vipimo vya DNA? mbona ni kazi rahisi sana kumgundua mtoto kama ni wako au lah! nawaheshimu sana wanawake ila siwezi mnyenyekea kihivyo kisa tu eti inawezekana ana siri nzito ambayo sembuse siijui, ni kupima tu DNA kuwa na uhakika
   
 18. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Ushauri wangu kwako; Hope now umepata mwingine naye akikuzingua piga chiniiii.! mara moja bila kusita na akikuita lodge piga mimba kama kawa, alafu usingizie kubaka na hapo utakua na kama 39, nadhani utakua somo tosha kwako na kwa wanaokuzunguka tukiwemo hapa jf.
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Pumba ambazo hazijaandikwa na msomi wa chuo. Na kama vyuo vyetu ndio vinatoa wasomi wa aina hii, ndiyo maana Tanzania inazidi kudidimia.
   
 20. l

  ladywho Senior Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hv kongosho jinsia gani?
   
Loading...