Lusinde wa CCM aibuka na hoja binafsi kuhusu bandari kavu Dodoma

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,911
2,891
Mbunge machachari wa mtera kupitia CCM mheshmiwa Livingstone Lusinde anakusudia kupeleka bungeni hoja binafsi ili kuitaka serikali ianzishe bandari kavu mkoani Dodoma kwa lengo la kuwapatia ajira wakazi wa mkoa huo.
 
Mmmmhhhh Lusinde Bwana Du Si Mchezo,Think Tank wa CCM na PAC Huyo,Pelekeni Muswada wa Kufuta Ewura,Services Charges itawapunguzia wanacnhi mizigo.
 
Lusindeeeeeee hata cna kumbukumbu kama kawa machachali tayari Na cjui vigezo vya achachali ni vp
 
Lengo kuu la uanzishwaji wa bandari kavu eneo lolote lile sio kuzalisha ajira. Kama atapeleka hoja kwa sababu hiyo, atakua kachemka kwa kiwango cha lami.
 
Apeleke kwanza hoja ya ugawaji misaada maana wananchi dodoma walikula viwavi jeshi wakati stoo za hifadhi ya chakula za serikali kunachakula!
Hii ya bandari kavu imemshinda jafo yeye ataweza? Labda aingie kimatucmatuc
 
Lusinde na mwanangu wa form 2 nadhan awana utofauti kwenye kujieleza
 
Lusindeeeeeee hata cna kumbukumbu kama kawa machachali tayari Na cjui vigezo vya achachali ni vp

Hana jipya, Bandari Kavu kwa lengo la kuwapa ajira vijana wake bila kuangalia factors muhimu, hajui wanaweza kuweka bandari kavu na isiwe na tija kutokana na geographical location
 
Mbunge machachari wa mtera kupitia CCM mheshmiwa Livingstone Lusinde anakusudia kupeleka bungeni hoja binafsi ili kuitaka serikali ianzishe bandari kavu mkoani Dodoma kwa lengo la kuwapatia ajira wakazi wa mkoa huo.
Watamchukia jamaa awapendi kufanya kazi hata kidogo
 
Back
Top Bottom