Lusinde; Timu ikifanya vibaya kawaida Kocha ndio anafukuzwa sio mchezaji

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Live Bungeni.

Anadai kuwa kama mawaziri wanafanya vibaya ni kuwatimua tuu, anashangaa mawaziri wanaingia facebook na hawafanyi kazi inayotakiwa, wizara ziko vururu vururu.

Anadai kuwa Udom inejengwa kuwadanganya wananchi. Kama shule hazina maabara wala umeme chuo wananmjengea nani?
 
Anaomba kila bunge kuwe na mawaziri mmoja au wawili waliwe vichwa kwa kazi mbovu kuliko kuwa wengi wanaishia kuchat facebook
 
Leo Lusinde ameongea mambo ya msingi sana,,,,,,,nadhan anajirekebisha sasa,ameongea mambo mazito sana,
waziri anakaz ya kuingia jamii na facebook
cc januari
 
Nimesikitika sana aliposema kalelewa na Mama,baba hamjui hivyo mambo mengine yanatokea ni kutokana na mazingira aliyokulia,tumsamehe kwa yote!
 
yeah,amejitetea leo,,,hahahahaa
single parent,,,,,
matusi moto,kumbe baba hakuwepo,
 
Live Bungeni.

Anadai kuwa kama mawaziri wanafanya vibaya ni kuwatimua tuu, anashangaa mawaziri wanaingia facebook na hawafanyi kazi inayotakiwa, wizara ziko vururu vururu.

Anadai kuwa Udom inejengwa kuwadanganya wananchi. Kama shule hazina maabara wala umeme chuo wananmjengea nani?

Sijui kwake Facebook na Mitandao ya Kijamii inamaanisha nini.Isijekua ana primitive mentality pamoja na kuwa na hoja nzuri ila base na premise ya hoja ni chaka!
 
Huyu ana busara mara mia ya lema.Sema kuna wakati anajitoa ufahamu.
MSALANI siku ukibadilisha hiyo username yako ndipo utakapokuwa na akili,ukizaa mtoto ukamuita -------- atakuwa na akili hivyo hivyo,ukimuita MSALANI atakuwa na akili za Msalani!Sijawahi kuona umechangia kwa busara,nimetafakari sana nimegundua kuwa ilo jina lako pia linachangia!Kama hujui chungulia kwenye kamusi ya kiswahili utafute maana ya neno MSALANI
 
Last edited by a moderator:

nimempita hapo juu sikutaka hata kusoma user name kumbe toilet?nisawa hajakosea
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom