Lusinde: Nawapongeza Polisi safari hii kapigwa muhusika mwenyewe

Hongera IGP Mangu, Polisi sasa inatimiza wajibu! Naomba wasiishie kuwapiga tu, Wapige na Kuburuta""!
 
Huyu Lusinde ni mbunge jina tu, coz hajui hata katiba ya nchi

Sio Tatizo Lake Mkuu! Hajasoma Kaishia La Saba, Sidhani Kama Uraia Ya Shule Ya Msingi Alisoma Vizur, Yeye Anajua Kusoma Na Kuandika Tu. Angekua Anamwona Hata Chenge Amwelekeze Baadhi Ya Vitu.
 
Polisi wetu kwa sasa wamebadilika sana. Hongera jeshi letu la polisi kwa reform kubwa inayoendelea. Wapigwe tena kwa sana tu wasababishaji. Kisha wapelekwe mahakamani na wakibainika kuhusika na wafungwe tu. tuige mfano wa Rwanda japo hatuwapendi

Unatuabisha CCM kwa mitizamo hii.
 
Hicho mnachokishabikia wewe Lizaboni na mwenzio lusinde mtakuja kukijutia siku kila kituo cha television kitakapoweka title mbele.Tanzania unrest»Tanzania crisis»nk nk, mkeo na watoto wenu(hasa wako lizaboni)watakuwa wameshachinjwa kama kuku!mkeo atakuwa keshafanyiwa kila aina ya ukatili wa kufisha,mama yako mzazi huko kijijini kwenu atakuwa ni kifusi cha udongo tu,kwani atafia peupe kwa njaa na kiu na maradhi na hatapata wa kumzika,kwani wenye nguvu wote watakuwa wameshakimbiza roho zao,na mama yako kwa kuwa ana matatizo ya miguu na uzee hatakuwa na pa kukimbilia zaidi ya kusubiria mauti,wakati unafurahia wengine kupigwa na kuuawa na polisi bila ya makosa yanayostahili adhabu hizo jaribu pia kuwafikiria ndugu na jamaa zako utakaokuwa umewaacha pindi yatakapokukuta wewe yle yaliyowakuta kina mwangosi na muuza magazeti wa morogoro,kwani hawa unaoshabikia wauwawe kikatili leo watakuwa kweli wameshauwawa na kuzikwa,ila wewe kwa kuwa ni jasiri na mwenye nguvu unayelindwa kwa bunduki za watawala utakuwa bado u hai,ukisubiria zamu yako pia,na litakapo kufika wewe waombolezaji watakuwa tayari wamekwisha kutangulia mbele za haki,kwa ukatili wenu,kumbuka ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga!! Zamu yako inakuja,tafakari.

Mkuu heshima kwako kwa kujaribu kuchora picha inayoweza kutokea kutokana na vitendo vya kukanyaga haki za raia. Nilifuatilia mambo yaliyotokea nchi za kiarabu na bado naendelea kufuatilia mpaka leo. Ninaloweza sema hapa, ni mshangao wangu kwanini hatujifunzi kwa yaliyotokea kwa wenzetu!

Yetu macho!
 
Ukiwa na akili timamu ni lazima ujizuie kuongea upuuzi kama huu alioongea Lusinde, hata kama ndani ya moyo wako unatamani kusema hayo.
Kwa kawaida mwenye akili timamu hujiandaa kwanza kuzungumza mbele ya hadhara. Kauli zisizo na hekima huweza kubomoa yeyote hata kama amejijenga namna gani.
Hakika kauli za namna hii za viongozi huchochea sana wananchi kuamua kujibu mapigo. Sitashangaa kuona polisi wakianza kushambuliwa na wananchi.
Ova


Kauli fyongo za akina Lusinde zina malengo maalum! Hiyo imekuwa ni shortcut ya kutumia ukitaka uteuliwe waziri, naibu waziri, n.k.
Ukiitizama ile video ya polisi kupiga wafuasi wa CUF utagundua sanaa hiyo hiyo, wale polisi walitaka waonwe vile ili wapandishwe vyeo. Mmoja wa aliyechukua zile video ni polisi au ana uhusiano na polisi ndio maana aliweza kuwa karibu vile bila kubughudhiwa.

I think I know what JK is thinking right now. Mnakumbuka alisemaje kuhusu Warioba kupigwa?
 
Kwa sasa baadhi ya Wabunge ni vichaa ebu oneni hii.

Lusinde: Kwani kupigwa Lipumba ndiyo tatizo, wamepigwa viongozi wangapi hapa, Lipumba siyo wa kwanza kupigwa.
10958059_1138849396129477_4256600884887230528_n.jpg


Lusinde: Nawapongeza Polisi safari hii kapigwa muhusika mwenyewe, ndiyo nzuri hiyo, siyo wapigwe wengine, kupigwa kazini ndiyo sawa

Lusinde: Bunge linapokwenda mwishoni wabunge wenye hali mbaya majimboni wanakuwa na hamsha hamsha ili wafikiriwe

Lusinde: Nawashauri wapiga debe mkiona watu wanaandamana magari hayatembei hampati pesa na nyinyi andamaneni.

Sadifa: Mnasema Lipumba kapigwa, hajapigwa hapo, kaguswa tu, huwezi kumlinganisha Lipumba na Kikwete
.

East Africa Television (EATV)

!
!
lusinde, sadifa, polisi wooooote ni chakula kinapotokea mwilini.
 
Lusinde alisema hata mchezaji akivunjika mguu akiwa mpirani ni kazini kwa hiyo Lipumba aliumia akiwa kazini hana sababu ya kulalamiko.
 
mi huwa nawashangaa hao wanaompigia makofi qakati anaongea pumba zake...sijui yamelogwa?
 
Kwa sasa baadhi ya Wabunge ni vichaa ebu oneni hii.

Lusinde: Kwani kupigwa Lipumba ndiyo tatizo, wamepigwa viongozi wangapi hapa, Lipumba siyo wa kwanza kupigwa.
10958059_1138849396129477_4256600884887230528_n.jpg


Lusinde: Nawapongeza Polisi safari hii kapigwa muhusika mwenyewe, ndiyo nzuri hiyo, siyo wapigwe wengine, kupigwa kazini ndiyo sawa

Lusinde: Bunge linapokwenda mwishoni wabunge wenye hali mbaya majimboni wanakuwa na hamsha hamsha ili wafikiriwe

Lusinde: Nawashauri wapiga debe mkiona watu wanaandamana magari hayatembei hampati pesa na nyinyi andamaneni.

Sadifa: Mnasema Lipumba kapigwa, hajapigwa hapo, kaguswa tu, huwezi kumlinganisha Lipumba na Kikwete
.

East Africa Television (EATV)

Bora maana alitaka misifa ili arudi hewani bora polisi walifanya kazi yao kwa haki
 
Hongera IGP Mangu, Polisi sasa inatimiza wajibu! Naomba wasiishie kuwapiga tu, Wapige na Kuburuta""!

Usigurahie kuungua nyumba ya jirani yako, ipo siku utakuja sikia ndugu yako wa katibu ameuawa kwa kipigo kosa kushindwa kuwapa hongo.

ila tu kumbuka usichopenda kitendewa wewe usomtendee mwenzako.Jana mjini Songea Nape amefanya MAANDAMANO, kama tatuzo ni kuandamana mbona hawa hawajapigwa tu? Kwanini mnawabagua watanzania kwa itikadi zao? Mnachokitafuta kinakuja msije tu kulaumiana.

Wenyewe Polisi wanasema wanapata maelekezo toka juu, sasa najiuliza ni rais? Na inawezekana maana huyu rais wetu hata kuwaonya basi, lakini polisi ukiua unapandishwa cheo.Haya tutafika mnakoyaka twende
 
Mheshimiwa sana Mrema alishangilia sana wapinzani walipokuwa wanapigwa na polisi kabla hajajiunga na Upinzani. Alipojiunga na upinzani Polisi walewale aliokuwa bosi wao walimpiga pale Moshi hadi akalazwa KCMC. Siku CCM watakapokuwa chama cha Upinzani ndo Lizaboni na timu yake wataelewa somo!!
 
Back
Top Bottom