Lusinde: Miradi yote lazima tugawane majimbo ya CCM kwanza chini ya Waziri Mkuu, ya upinzani hatupeleki maendeleo

Kampeni za Kinondoni na Siha zimeibua hoja kwamba wabunge wa CCM wako karibu na Raisi na viongozi wengine wa serekali.

..Kwamba kukitokea changamoto au matatizo ktk majimbo yao humpigia simu Raisi au viongozi wengine ili kupewa msaada.

..Zaidi wameibuka Mawaziri na kudai kwamba kuwasihi wapiga kura wawachague wagombea wa CCM ili waweze kushirikiana nao kutatua matatizo ya wapiga kura.

..Hoja ya mawaziri hao ni kana kwamba hawako tayari kushirikiana na wabunge wasiokuwa wa CCM ktk kutatua kero za wananchi.

..Mmoja wa wapiga kampeni wakubwa wa CCM ni Mh.Lusinde mbunge wa Mtera, mkoani Dodoma.

..Wapiga kura wa Lusinde wana changamoto za Umasikini na maradhi. Wako nyuma kimaendeleo.

..JE, Mh.Lusinde hana simu ya Raisi, Makamu, au Waziri Mkuu?

..JE, Mawaziri wa serekali ya CCM hawampi ushirikiano Mh.Lusinde kutatua kero za umasikini na maradhi yanayowakabili wapiga kura wake?
Maendeleo yanaenda mtera kwa Kasi kubwa
 
yaani serikali ikusanye kodi kwa wote halafu igawe kwa wachache je ni haki? hili ni genge la wahuni aiseeh
 
Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.

Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge waCCM ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha:

Livingstone Lusinde Kampeni za Ubunge Kinondoni Leo

Kwani huko kwa wapinzani SIZONJE alipata kura ngapi?
Mnawaonea waliowapigia kura nyie
 
Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.

Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge waCCM ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha:

Livingstone Lusinde Kampeni za Ubunge Kinondoni Leo
Bora upoteze Hurizi kuliko Kufiwa na Mganga
Pole saka Kwa Kibajaji
 
Back
Top Bottom