Lusinde: Miradi yote lazima tugawane majimbo ya CCM kwanza chini ya Waziri Mkuu, ya upinzani hatupeleki maendeleo

Na kama mbowe ataendelea hivi upinzani utaisha kwenye nchi hii maana amekuwa muoga kiasi kwamba hata ngosha anautumia uoga wake kufanya anachotaka.
Mi naumia sana,ndo hivyo siyo kila mtu anaweza kuwa kiongozi la sivyo ningegombea mwenyewe.
 
uyo jamaa kwao wanakunywa maji dimbwi moja na ngo'mbe.. Kuna bandiko la Passco humu kwamba ufupi wa kimo unaenda sambamba na IQ ndogo pia.inawezekkana!!
 
kama maneno yake aliyosema sio ya kweli atachukuliwa hatua lakini ukiona kimya ujue ndivyo wafanyavyo
 
Bac tugawane nchi nusu kwa nusu. CCM upande wake na wapinzani upande wake. Ili CCM iwe inafanya ayo maendeleo kwenye majimbo yake tu. Haiwezekani wote tulipe kodi alafu kwenye maendeleo kuwe na Double standards

Mkuu huwezi kuamini, hicho alichosema Lusinde unaweza ukadhani ni siasa za majukwaani, lakini huo ndiio ukweli wenyewe pindi wawapo huko bungeni. Kumbuka mapato ya nchi ni kidogo, hivyo mgawo wake ni wa upendeleo. Kwa hiyo kwa vyovyote ccm lazima wajipendelee. Na ili wabunge wa ccm waunge mkono kila kinacholetwa na serekali ni lazima wapewe upendeleo wa maendeleo kwani fedha ni kidogo. Huoni wabunge wa ccm huwa wanalazimisha kusema majimbo ya upinzani hayana maendeleo? sio kwakuwa maendeleo yanaletwa na mbunge, bali mbunge anayeunga mkono serekali anapewa miradi kwa upendeleo.
 
jimbo la mtera eti l linaongozwa na chadema ndio maana halina maendeleo
 
Tukianza kuongea tutaonekana wanafki,lakini ukweli Mbowe ameishiwa mbinu au ni 'mtu wa system' MBOWE NI ROLE MODEL WANGU KWENYE SIASA NA SIJAWAHI KUMPINGA......ILA KWA HALI INAYOENDELEA NCHINI...MBOWE INATOSHA.
Hakuna mtu aneyeweza hiyo nafasi unless system iamua kutengeneza chama pinzani
 
Hivi kwa nini tuna wabunge wengi hivi?, ni ajira, napendekeza yeyote atakayeunga mkono jimbo libaki wazi mpaka 2020 au mshindi Wa pili apewe
 
Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge wa ccm ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha: Livingstone Lusinde@Kampeni za Ubunge#Kinondoni Leo
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]
Lusinde amewafafanulia mengi wanaKinondoni. Salum alie tu. Mtulia anakubalika.
 
Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge wa ccm ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha: Livingstone Lusinde@Kampeni za Ubunge#Kinondoni Leo
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]
Kinondoni mshindwe wenyewe sasa kumg'oa mkoloni mweusi anayewatawala kwa zaidi ua miaka 50
 
Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge wa ccm ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha: Livingstone Lusinde@Kampeni za Ubunge#Kinondoni Leo
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]

Hivi hawa watu hawana mtu wa ku-moderate speeches zao. This is too much jamani!
 
Kampeni za Kinondoni na Siha zimeibua hoja kwamba wabunge wa CCM wako karibu na Raisi na viongozi wengine wa serekali.

..Kwamba kukitokea changamoto au matatizo ktk majimbo yao humpigia simu Raisi au viongozi wengine ili kupewa msaada.

..Zaidi wameibuka Mawaziri na kudai kwamba kuwasihi wapiga kura wawachague wagombea wa CCM ili waweze kushirikiana nao kutatua matatizo ya wapiga kura.

..Hoja ya mawaziri hao ni kana kwamba hawako tayari kushirikiana na wabunge wasiokuwa wa CCM ktk kutatua kero za wananchi.

..Mmoja wa wapiga kampeni wakubwa wa CCM ni Mh.Lusinde mbunge wa Mtera, mkoani Dodoma.

..Wapiga kura wa Lusinde wana changamoto za Umasikini na maradhi. Wako nyuma kimaendeleo.

..JE, Mh.Lusinde hana simu ya Raisi, Makamu, au Waziri Mkuu?

..JE, Mawaziri wa serekali ya CCM hawampi ushirikiano Mh.Lusinde kutatua kero za umasikini na maradhi yanayowakabili wapiga kura wake?
 
Back
Top Bottom