Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,102
- 8,006
Mi naumia sana,ndo hivyo siyo kila mtu anaweza kuwa kiongozi la sivyo ningegombea mwenyewe.Na kama mbowe ataendelea hivi upinzani utaisha kwenye nchi hii maana amekuwa muoga kiasi kwamba hata ngosha anautumia uoga wake kufanya anachotaka.