Lusinde: Miradi yote lazima tugawane majimbo ya CCM kwanza chini ya Waziri Mkuu, ya upinzani hatupeleki maendeleo

Bac tugawane nchi nusu kwa nusu. CCM upande wake na wapinzani upande wake. Ili CCM iwe inafanya ayo maendeleo kwenye majimbo yake tu. Haiwezekani wote tulipe kodi alafu kwenye maendeleo kuwe na Double standards
Ccm wanasumbuliwa na incompetency na ushamba wasameheni bure
 
Kyuuma la mama ake ,ndo maana ccm wakiumwa kama wastara na ndugyeeeii kwangu furaha siwapendiiii natamani wafe wote
 
Kibajaji anabwabwaja tu. Nadhani wana Kinondoni hawawezi kushikwa masikio kwa hizo pumba.
 
sasa pale kijijini kwake kwa wala panya kapeleka nini? mwaka wa 10 huu yupo bungeni kazi kupiga domo huku wagogo wakitaabika
 
Halafu huko mtera wana kunywa maji ya madimbwi. Hivi Watanzania bado ni wajinga kiasi hiki hadi wamsikilize class seven zero??
ooh hii nchi ndugu yangu ukiwaza hayo unaweza kufa kwa kihoro .hii tanzania bado wajinga ni wengi sana na ndio mtaji wa ccm huo
 
Kibajaji anabwabwaja tu. Nadhani wana Kinondoni hawawezi kushikwa masikio kwa hizo pumba.
Anakuwa ajawatendea haki maana hata kwenye majimbo ya upinzani wana ccm wapo na kwenye majimbo ya ccm upinzani wapo pia.Pia kodi utolewa na wote, walipoua vyuo vya chama walikosea sana viongozi wengi wa ccm siku hizi hawana elimu ya uongozi kbsa.
 
Tukianza kuongea tutaonekana wanafki,lakini ukweli Mbowe ameishiwa mbinu au ni 'mtu wa system' MBOWE NI ROLE MODEL WANGU KWENYE SIASA NA SIJAWAHI KUMPINGA......ILA KWA HALI INAYOENDELEA NCHINI...MBOWE INATOSHA.
Na kama mbowe ataendelea hivi upinzani utaisha kwenye nchi hii maana amekuwa muoga kiasi kwamba hata ngosha anautumia uoga wake kufanya anachotaka.
 
Kwa nini mnakusanya kodi za wapinzani? Gawaneni kulingana na kodi zenu na wapinzani muwaachie za kwao
 
Mkuu wa chama dola kila siku anatuambia maendeleo hayana chama iweje leo mbunge wa chama chake atuambie katika kuwapelekea wananchi maendelea wanaangalia chama?
 
Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge wa ccm ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha: Livingstone Lusinde@Kampeni za Ubunge#Kinondoni Leo
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]
Sasa ni maendeleo gani wanayoyafanya kwenye majimbo yao!?
Mbona ni majimbo yanayoongoza kwa umasiki wa miundombinu hadi akili.
 
Mbona jimboni kwake licha ya kuwa chini ya ccmakinikia miaka zaidi ya 35 hakuna la maana?
Au ndo 10% kila mtu chake kivyake??
 
Back
Top Bottom