Lusinde:Hakuna mtoto anazaliwa akiwa haramu

tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,469
581
Mbunge Lusinde kasema ni makosa kumuita mtoto aliyezaliwa haramu,bali kitendo wazazi wake walichofanya ndicho chaweza kuitwa haramu maana mtoto yule hakuandika barua ili azaliwe.Hivyo kumuita haramu ni kumbagua na ni makosa ya unyanyasaji kama makosa mengine.


Wadau naleta mada mezani tuijadili kama kuna ukweli au lah?
 
IQ zetu ninamashaka nazo mtoto haramu ni yupi au tunamfundisha Mungu kazi PAC wameleta ripoti ya ufisadi Uharamu wao unatokea wapi Jaji Askofu Hakimu Waziri kula hela za Umma bila kazi huu ndo uharamu mkubwa kuliko wote bora kuzini na mwanamke na azaliwe mtoto.
 
Back
Top Bottom