Lusinde asilaumiwe elimu darasa la saba ni shiida sana kuzungumzia mambo ya kitaifa

Shubby

Member
Apr 1, 2012
5
20
Katika mambo ambayo yalidhiliisha kuwa elimu ni kigezo muhimu kwa mbunge wa bunge letu la Tanzania, baadhi ya wabunge walishindwa kabisa kutoa michango ya kujenga hoja either kwa kutumwa au kutokana na elimu mbovu waliyonayo bwana lusinde maskini alinisikitisha lakini nilifanikiwa kujua shida yake baada ya halima mdee kueleza kuwa hajui lugha ya kiingereza na anachoongea kalishwa utumbo tu na muhoongo. Wabunge wengine kama mama kisangi na assumpta mshana mwishoni walikuwa wanaona hata aibu tv ikiwaonyesha kwa jinsi walivyoongea mambo ya aibu.
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
49,436
2,000
huyu assumpta anaongea utumbo mpaka anataka kujikojole.....a
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,805
2,000
​kila siku nasema lusinde akafungue band ya taarab ndo ataonekana anavyoimba vya maana kwa wale wa tandale kwa mtogore, sinza kwa tmbo na mbagala chalambe
 

Nasolwa

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
1,829
1,225
hii ndio CV ya mheshimiwa mbunge wa Mtera(CCM)Livingstone Lusinde (MP),
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mbigili Primary SchoolPrimary Education19801987PRIMARY
CCM College IhemiCertificate20072008CERTIFICATE

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency20102015

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007
CHADEMAMember - National Executive Board1995
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency19921995
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary


 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom