Lusinde adai Spika anaelekezwa na chama kuwatoa wabunge wa upinzani Bungeni

Elimu Elimu Elimu, Elimu ndilo tatizo kubwa inatufanya tuwe mazezeta, hakuna anayejiamin kwahiyo ni ngumu kuthubutu.
 
Na pumba aliyoongea utakuwa kuna wa tz wanapiga vigegele.. unaweza inamisha kichwa chini ukavunjika moyo kwakweli.
Lazima uumie yani uswahilini elimu bado yaani kila kitu wanashangilia..wanaweza hadi kutukanwa lakin bado wakashangilia
 
Unadhani mtu kama Lusinde akipewa kipaza sauti ataongea nini zaidi ya hayo aliyoyaongea? Na huo ndio msimamo wa awamu ya tano, ubaguzi ni ajenda kuu. Utadhani kodi zinalipwa na wanaCCM peke yao.
Nashindwa kuelewa kwanini hawana hata mshipa wa aibu kuyanena hayo majukwaani.
 
Mbona wananchi wanajuwa hata jimbo la chato bado wananchi wanakunywa maji pamojs na punda na ng'ombe na mbuzi
 
najaribu kuwaza kama kijana nini nifanye ili kuinusuru Tanzania yangu... Tanzania ni zaidi ya ccm, Tanzania ni zaidi ya chadema, Tanzania ni zaidi ya cuf.,. CCM watawajibika kwa maovu yatakayoifitinisha Tanzania.
 
Lkn naamini kuwa mwisho wake utakuja kuwa ni majuto na kusaga meno na kilio kukubwa sana
Hakuna lolote na mwekiti wao kichaa...alitunyima ajira kwa makusudi 2016 akisema tusubiri mwezi mmoja au mmoja nanusu kumbe alikuwa na machuki yake binafsi eti kisa wanachuo walikuwa wanampinga lakini wapi tupo tunadunda tu .. sana sana ameongeza chukitu... 2020 tutampinga hazarani mchana kweupeeee
 
kwa. maelezo haya ya lusinde ni vizuri wabunge. wetu hasa wa ccm waingizwe darasani waelimishwe juu ya nini maana ya mbunge na majukumu yake kwa jimbo na taifa kiujumla. wabunge wetu wanachojua ni kusema ndio tu na kusaini laki tatu kwa siku
 
Hakuna lolote na mwekiti wao kichaa...alitunyima ajira kwa makusudi 2016 akisema tusubiri mwezi mmoja au mmoja nanusu kumbe alikuwa na machuki yake binafsi eti kisa wanachuo walikuwa wanampinga lakini wapi tupo tunadunda tu .. sana sana ameongeza chukitu... 2020 tutampinga hazarani mchana kweupeeee
Huo ndio msimamo tunao utegemea kutoka kwa wasomi wetu maana taifa lolote linakombolewa na wasomi
 
Back
Top Bottom