Lusekelo (Mzee wa Upako) ana mapepo na ni Agent wa Shetani. Ataka oa mke mwingine?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,386
Nmejikuta wakati flan nikitafakari sana matendo ya huyu anayejiita Mchungaji na kugundua ana mapepo na ni mtumishi wa shetani kabisa.

Kitendo cha kusema anamtafuta aliyesema wakristo waoe mke mmoja amhoji tayari anaonesha kuukana ukristo na kujihalalishia uzinzi.

Mungu angetaka adam awe na wake wengi angemtengenezea na mwingine.lakini hakufanya hivyo.kusudio la Mungu lilikuwa mke moja na mume mmoja. Kuhoji uhalali wa neno hilo tayari anaonesha ni mtu aliyekengeuka.

Ndugu huyu anayefahamika kwa majivuno na kiburi kinyume na matendo ya ukristo Yesu aliposema Mtu yeyote anayetaka kuwa mkubwa kwenu. Yampasa ajinyenyekeze na kujishusha kama mtoto mdogo.

Lusekelo ambaye ni juz juz tu alikumbwa na kashfa ya ulevi jambo ambalo ni aibu hata kwa mchungaj kusingiziwa. Bado hakuweza kujieleza akaelweka machoni pa watu wa Mungu.

Style yake ya mafundisho imejikita zaidi katika yeye kupokea sadaka na tunaona hata kwnye ibada anavyofurahia kutuzwa pesa. Na hapa ndipo ukristo unapozidi kujidhihilisha kuhusiana na siku za mwisho kutakuwepo na manabii na wa uongo na wachungaj wa aina ya lusekelo.

Haya ni mafundisho ya kishetani kabisa. Tamaa za mwili ndizo zinazoweza mkristo akahoji jambo kama hili.

Yesu anasema mwanaume atamwacha babaye na mamaye naye ataambatana na MKEWE na si WAKEZE. Mathayo 19:3-9

Ukina Mkristo anaanza kutaman yaliyo kwa shetan ujue tayar shetan ameshamkamata. Tuendako usishangae kusikia lusekelo anaruhusu waumini wake kuoa wake zaidi ya mmoja.
 
Attachments

  • VID-20161206-WA0023.mp4
    1.7 MB · Views: 71
Yesu alisema kipofu akiongoza vipofu wenzake atawatumbukiza wote shimoni. Hicho ndicho Lusekelo alichofanya maana waumini wake wamepigwa upofu. Wanafuata anachosema hawafuati neno la Mungu kwenye biblia linavyosema. Lusekelo ametia aibu sana Ukristo maana alikuwa anaeleweka kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbe ni mtumishi wa pombe na roho ya kuoa wake wengi (uzinzi)
 
Maandiko yanasema "...mke na mume wataungana na kuwa mwili mmoja..."
Haijasema "...wake na mume..."
Utata unakuja utakapojua kua Musa alioa wake wawili na jibu hua linakua "Lile ni agano la kale".

Mchungaji atatenda upuuzi akiulizwa anajibu " Fuata maneno na si matendo" kwenye biblia tunaambiwa matendo ndiyo yatakupeleka unapotaka, hata Baba wa Taifa alisema hiki kitu.
 
Mwendawazimu huyo. Mafundisho hayo yanaonesha nyumbani kwake hapakaliki kati yake na mkewe. Shetani wa uzinzi amelala kicgwani mwake mpk anatamani dini nyingine ili ajihalalishie mke mwingine. Tamaa za mwili zinaongoza kichwa chake. Hakuna mchungaji hapo bali uozo.
 
Huyu anaonekana ana matatizo ya kisaikolojia tena yaliyosababishwa na ' FAMILY ' problem. Huwa naamini asilimia kubwa ya yale ayanenayo mtu kwa kuwafundisha wengine yamemtokea. Mpaka afikirie mke wa pili , na series za tuhuma za kale kakinjwaji , inaonhesha kuna kitu chini ya carpet .
 
Nmejikuta wakati flan nikitafakari sana matendo ya huyu anayejiita Mchungaji na kugundua ana mapepo na ni mtumishi wa shetani kabisa.

Kitendo cha kusema anamtafuta aliyesema wakristo waoe mke mmoja amhoji tayari anaonesha kuukana ukristo na kujihalalishia uzinzi.

Mungu angetaka adam awe na wake wengi angemtengenezea na mwingine.lakini hakufanya hivyo.kusudio la Mungu lilikuwa mke moja na mume mmoja. Kuhoji uhalali wa neno hilo tayari anaonesha ni mtu aliyekengeuka.

Ndugu huyu anayefahamika kwa majivuno na kiburi kinyume na matendo ya ukristo Yesu aliposema Mtu yeyote anayetaka kuwa mkubwa kwenu. Yampasa ajinyenyekeze na kujishusha kama mtoto mdogo.

Lusekelo ambaye ni juz juz tu alikumbwa na kashfa ya ulevi jambo ambalo ni aibu hata kwa mchungaj kusingiziwa. Bado hakuweza kujieleza akaelweka machoni pa watu wa Mungu.

Style yake ya mafundisho imejikita zaidi katika yeye kupokea sadaka na tunaona hata kwnye ibada anavyofurahia kutuzwa pesa. Na hapa ndipo ukristo unapozidi kujidhihilisha kuhusiana na siku za mwisho kutakuwepo na manabii na wa uongo na wachungaj wa aina ya lusekelo.

Haya ni mafundisho ya kishetani kabisa. Tamaa za mwili ndizo zinazoweza mkristo akahoji jambo kama hili.

Yesu anasema mwanaume atamwacha babaye na mamaye naye ataambatana na MKEWE na si WAKEZE. Mathayo 19:3-9

Ukina Mkristo anaanza kutaman yaliyo kwa shetan ujue tayar shetan ameshamkamata. Tuendako usishangae kusikia lusekelo anaruhusu waumini wake kuoa wake zaidi ya mmoja.

Huyu haihitaji degree kujua kuwa ni muhuni tu anayekula hela za wajinga. Hakuna roho mtakatifu naye tamka ujinga na uchafu huu. Ombeni mpewe macho na usikivu wa kiroho. Huyu anapoteza watu. Maana ukitaka kujua, fuatilia uone je anahubiri wokovu? Hapana. Anahubiri mambo ya dunia tu. Magari na majumba vitu ambavyo ni next watu watufute ufalme kwanza hayo mengine yataongezwa.
 
Wivu tu umekujaa , nani aliyekupa mamlaka ya kuhumu? Ajenti wa shetani ni yule apingae kila juhudi ya kumtukuza Mungu
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom