Lusaka to gaborone

Boiker

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
349
458
Habarin wakuu
Kwa anaefaham nauli ikoje anifahamishe kutoka lusaka(zambia) had gaborone(botswana) pia maisha ya botswana yako vp kiujumla,karibun

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaaa
Naelewa mkuu kuna ishu ya msing nataka nikaifanye kule then ntarud mbna bongo mm kwetu kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok..nauli sijui,ila kwa maisha yakoje ni kama hapa kwetu,karibu kila kitu kwa maana ya gharama za manunuzi,malazi na chakula havina tofauti,sema tu unapokua ugenini ktk nchi yeyote ile utajikita wakati mwingine unatumia gharama kubwa za maisha kwa kuhofia usalama wa kimazingila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lusaka - Livingston - Kazingula border - Fancis Town - Gaberone.
60$(US) is more than enough kwa nauli ya basi.
 
Lazima apite Francis Town..akitokea border kasane anatembea mpk FT...Palapye...Mahalapye then anafika Gabs. Ka nchi katamu sana kale

Sent using Jamii Forums mobile app
Kobe ni kwel kabsa nlpita hzo sehemu kutoka lusaka kwenda gaborone nlpanda zambia-botswana express ambayo nauli ake ni P450 moja kwa moja nway Bots ni kuzuri sana na raia wake wako poa sana then population ake town c kubwa kivile..DUMELA
 
Lusaka - Livingston - Kazingula border - Fancis Town - Gaberone.
60$(US) is more than enough kwa nauli ya basi.
Thats very true nigga sema daraja bado cjui kulkua na tatzo bado so mnavuka maji na ferry(kazungula boarder)
 
Back
Top Bottom