Lupita Nyong'o ameanza kuunyemelea usagaji

Laiti huyu mdada angejua navyompenda angeachana na usagaji akaja kwangu tu.. nampenda sana huyu mremboo
1098846
 
Hivi utamu wote wa mwanaume huu jamani unaanzaje kukubali kushikwa na mwanamke mwenzio
.
Kifua na misuli ya kiume ikikubananisha kwenye kona na harufu ya kiume mwili wote unasisimkaaaa OMG!!!

Kwenye yale mambo yetu ya 6*6 ndio kabisaaa mimi hoi...

Ahsante mungu kwa kutuletea wanaume
Hapo tu sasa. Kwanza mwanaume ana kitu ambacho ukimuangalia kuna feeling flani unaipata sasa wenzetu wanaipataje kwa wanawake wenzetu?
 
Truth is wanawake wanawachukia lesbians ila wanawapenda gays. Wanaume wanawakubali lesbians na kuchukia gays. What a balanced paradox
You're very right, any reasons behind?
 
Dada yetu ambaye ni role model wa mabinti wengi sana Africa ameanza kutoa boko!

Usiku wa juzi, Lupita ameonekana kushikana shikana kimahaba na msagaji maarufu wa Marekani, Jannele Monae huko kwenye event ya Met Gala.

Huyo Jannele ni msanii wa muziki na muigizaji wa filamu. Umaarufu wake unatokana na kuwahi kujitangaza kuwa ni msagaji na kuweka wazi mahusiano yake na Tessa Thompson (wadau wenzangu wa movies mtakuwa mnamjua huyu mrembo).

Inawezekana wakawa wanatoka kimapenzi au wameamua kutafuta kiki au labda Janelle anamrusha roho ex wake (Tessa) waliomwagana hivi karibuni... Sijui.. But haya mambo haya yaanzaga hivi hivi.

Kama ni kweli Lupita ameanza kuiga tamaduni za Magharibi, Wakenya mtaambia nini watu?
HAYO NI MAMBO YAKE BINAFSI, NA SI SUALA LA KITAIFA!
 
You're very right, any reasons behind?
I 've observed it lakini sijaenda field kupata precise answers. Kama ingekuwa hypothesis ningesema kwa men ni battle of manhood, masculinity, pride nd dominance yaani its disgusting kufikiria kuwa kuna mwanaume yupo dominated by another man like a sisy. Kwa women is just the same sema huku ni feminity. Ila bado nikiifikiria naona kuna so many loop holes na unavyojua ni mwiko kuongelea sexuality in a different manne huku Africa
 
Back
Top Bottom