Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,627
- 40,782
Sawa,Itakua teh
Sawa,Itakua teh
Laiti huyu mdada angejua navyompenda angeachana na usagaji akaja kwangu tu.. nampenda sana huyu mrembooTessa ThompsonView attachment 1095808
Hapo tu sasa. Kwanza mwanaume ana kitu ambacho ukimuangalia kuna feeling flani unaipata sasa wenzetu wanaipataje kwa wanawake wenzetu?Hivi utamu wote wa mwanaume huu jamani unaanzaje kukubali kushikwa na mwanamke mwenzio
.
Kifua na misuli ya kiume ikikubananisha kwenye kona na harufu ya kiume mwili wote unasisimkaaaa OMG!!!
Kwenye yale mambo yetu ya 6*6 ndio kabisaaa mimi hoi...
Ahsante mungu kwa kutuletea wanaume
You're very right, any reasons behind?Truth is wanawake wanawachukia lesbians ila wanawapenda gays. Wanaume wanawakubali lesbians na kuchukia gays. What a balanced paradox
Pengine aliachana na wanaume baada ya kuona mizinguo mingi na stress kama zote!Laiti huyu mdada angejua navyompenda angeachana na usagaji akaja kwangu tu.. nampenda sana huyu mremboo
View attachment 1098846
sidhani kama hiyo ni sahihi labda ndio vile kila mtu na fantasy zakePengine aliachana na wanaume baada ya kuona mizinguo mingi na stress kama zote!
Wengi wanaoingia kwenye usagaji story huwa ni hizo - kuumizwa!
Mtoto mzuri wa kupiga cassava huyu...akina sie tukikutana nae lazima aache usagaji....hakika kwenye miti hakuna wajenzi!
Nadhani wanarefer origin ya baba yake Governor wa Kisumu County Kenya Dr Peter Anyan'g Nyong'olupita ni mzaliwa wa mexico na kukulia mexico...huo ukenya nyinyi ndio mnaforce sijui mkoje
HAYO NI MAMBO YAKE BINAFSI, NA SI SUALA LA KITAIFA!Dada yetu ambaye ni role model wa mabinti wengi sana Africa ameanza kutoa boko!
Usiku wa juzi, Lupita ameonekana kushikana shikana kimahaba na msagaji maarufu wa Marekani, Jannele Monae huko kwenye event ya Met Gala.
Huyo Jannele ni msanii wa muziki na muigizaji wa filamu. Umaarufu wake unatokana na kuwahi kujitangaza kuwa ni msagaji na kuweka wazi mahusiano yake na Tessa Thompson (wadau wenzangu wa movies mtakuwa mnamjua huyu mrembo).
Inawezekana wakawa wanatoka kimapenzi au wameamua kutafuta kiki au labda Janelle anamrusha roho ex wake (Tessa) waliomwagana hivi karibuni... Sijui.. But haya mambo haya yaanzaga hivi hivi.
Kama ni kweli Lupita ameanza kuiga tamaduni za Magharibi, Wakenya mtaambia nini watu?
Mtafute dunia kijiji siku hiziLaiti huyu mdada angejua navyompenda angeachana na usagaji akaja kwangu tu.. nampenda sana huyu mremboo
View attachment 1098846
I 've observed it lakini sijaenda field kupata precise answers. Kama ingekuwa hypothesis ningesema kwa men ni battle of manhood, masculinity, pride nd dominance yaani its disgusting kufikiria kuwa kuna mwanaume yupo dominated by another man like a sisy. Kwa women is just the same sema huku ni feminity. Ila bado nikiifikiria naona kuna so many loop holes na unavyojua ni mwiko kuongelea sexuality in a different manne huku AfricaYou're very right, any reasons behind?
lupita ni mlatino...ndiko alikozaliwa na alikokulia...msimshangae akiishi maisha hayo...Nadhani wanarefer origin ya baba yake Governor wa Kisumu County Kenya Dr Peter Anyan'g Nyong'o
Sure, japo vyote ni vibaya kwa tamaduni zetu.ila mwanamke kusaga naonaga wala sio ishu...ishu ya mamen kupigana deep tissues
Same as meila mwanamke kusaga naonaga wala sio ishu...ishu ya mamen kupigana deep tissues
weka hapa ushahidi.
Shetani hakupi kitu BURE mlielewe hilo. FAME COMES WITH A PRICENdio maana kuna watu wanasema American fame ina gharama yake.. Lazima uwe Mwanajumuiya tu..