Lupita Nyong'o ameanza kuunyemelea usagaji

Mmh mimi naona nipo kinyume chake
Yeap wapo wengi tu ambao wanapinga homesexuality kwa moyo wote na haijalishi ni aina gani ya gender inafanya.. Ila kibongobongo ndo ilivyo yaani utakuwa mashoga wengi marafiki zao ni wanawake kama macelebrities wenu na wasagaji wengi huwa na urafiki na wanaume
 
Sawa shoga ake super brand
I love t u know , le super lesbians u know , kwani kuna mtu ana tatizo huko ??? Asee ila jaman le mutuz ni rare specie he is about to go into extint inabidi tuhifadhi DNA for some future cloning hahahahaha
 
Hivi utamu wote wa mwanaume huu jamani unaanzaje kukubali kushikwa na mwanamke mwenzio
.
Kifua na misuli ya kiume ikikubananisha kwenye kona na harufu ya kiume mwili wote unasisimkaaaa OMG!!!

Kwenye yale mambo yetu ya 6*6 ndio kabisaaa mimi hoi...

Ahsante mungu kwa kutuletea wanaume
 
Hivi utamu wote wa mwanaume huu jamani unaanzaje kukubali kushikwa na mwanamke mwenzio
.
Kifua na misuli ya kiume ikikubananisha kwenye kona na harufu ya kiume mwili wote unasisimkaaaa OMG!!!

Kwenye yale mambo yetu ya 6*6 ndio kabisaaa mimi hoi...

Ahsante mungu kwa kutuletea wanaume
Aisee wewe ni mke halisi
 
Kwahiyo MBJ alikuwa anafekiwa mafeelings na msagaji?
Yule dada uzuri wote ule ni msagaji! Daah nimeumia

Daah Kristu aje upesi tu
Hamna siku niliyokuwa shocked kama ile ya Don Lemon yule mtangazaji wa CNN kujitangazakuwa shoga na eti anaolewa aisee nikajua kbsaa wazungu wana mkakati sana yaani watapita na wote wenye influence ktk jamii...sijakaa vizuri naona Gabriele Union anamsindikiza mwanae shoga ktk gay parade...aisee tuendako kuna Giza zaidi ya hili...miaka kadhaa nyuma black communities ndizo zilikuwa zinapinga ushoga na kuonekana kama moral standard in the West...sasa hivi wanaziharibu from the core.....

Ila usimwite Yesu sa hivi wenzio bado bado kidogo....hahahaaa
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom