Lupita Nyong'o ameanza kuunyemelea usagaji

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,433
7,055
Dada yetu ambaye ni role model wa mabinti wengi sana Africa ameanza kutoa boko!

Usiku wa juzi, Lupita ameonekana kushikana shikana kimahaba na msagaji maarufu wa Marekani, Jannele Monae huko kwenye event ya Met Gala.

D5A0F526-889E-49C5-B7AB-97A77D046BDD.jpeg

Huyo Jannele ni msanii wa muziki na muigizaji wa filamu. Umaarufu wake unatokana na kuwahi kujitangaza kuwa ni msagaji na kuweka wazi mahusiano yake na Tessa Thompson (wadau wenzangu wa movies mtakuwa mnamjua huyu mrembo).

Inawezekana wakawa wanatoka kimapenzi au wameamua kutafuta kiki au labda Janelle anamrusha roho ex wake (Tessa) waliomwagana hivi karibuni... Sijui.. But haya mambo haya yaanzaga hivi hivi.

6D75B549-BBDA-483A-9D9D-CC9336CD3BF8.jpeg

Kama ni kweli Lupita ameanza kuiga tamaduni za Magharibi, Wakenya mtaambia nini watu?
 
Dada yetu ambaye ni role model wa mabinti wengi sana Africa ameanza kutoa boko!

Usiku wa juzi, Lupita ameonekana kushikana shikana kimahaba na msagaji maarufu wa Marekani, Jannele Monae huko kwenye event ya Met Gala.

Huyo Jannele ni msanii wa muziki na muigizaji wa filamu. Umaarufu wake unatokana na kuwahi kujitangaza kuwa ni msagaji na kuweka wazi mahusiano yake na Tessa Thompson (wadau wenzangu wa movies mtakuwa mnamjua huyu mrembo).

Inawezekana wakawa wanatoka kimapenzi au wameamua kutafuta kiki au labda Janelle anamrusha roho ex wake (Tessa) waliomwagana hivi karibuni... Sijui.. But haya mambo haya yaanzaga hivi hivi.

Kama ni kweli Lupita ameanza kuiga tamaduni za Magharibi, Wakenya mtaambia nini watu?
weka hapa ushahidi.
 
bado huu sio ushahidi.
Mademu wote wakikutana wanatabia ya kubusiana, kukumbatiana, kupapasana na utakuta hata sio wasagaji.

haya maswala ya chumbani yanahitaji ushahidi wa karibu mno.

lets say Wema sepetu anajulikana ni msagaji(kwa maelezo ya mama yake) na juzi uwanja wa taifa alikua close wanahug na Jokate, Je mbona hamsemi kuwa Jokate kajiingiza kwenye usagaji??
 
Dada yetu ambaye ni role model wa mabinti wengi sana Africa ameanza kutoa boko!

Usiku wa juzi, Lupita ameonekana kushikana shikana kimahaba na msagaji maarufu wa Marekani, Jannele Monae huko kwenye event ya Met Gala.

Huyo Jannele ni msanii wa muziki na muigizaji wa filamu. Umaarufu wake unatokana na kuwahi kujitangaza kuwa ni msagaji na kuweka wazi mahusiano yake na Tessa Thompson (wadau wenzangu wa movies mtakuwa mnamjua huyu mrembo).

Inawezekana wakawa wanatoka kimapenzi au wameamua kutafuta kiki au labda Janelle anamrusha roho ex wake (Tessa) waliomwagana hivi karibuni... Sijui.. But haya mambo haya yaanzaga hivi hivi.

Kama ni kweli Lupita ameanza kuiga tamaduni za Magharibi, Wakenya mtaambia nini watu?
Tesa Thomson nilimpenda sana kwenye movie ya Creed.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom