Na yeye ndio anaenda ardhini sasa, after 19 years alichozidi ni kuvimba kama nyangumi tu na lisura limekuwa kama kasa.
Sasa muekeeni taifa pale linuke kama mzoga wa mbwa Baadae mkalifukie.
Wewe sudhani kama hata hiyo 19 yrs utaifikisha kwa chuki ulizonazo!
Kwa tafiti za kisayansi chuki huleta depression na depression inaua less than 5 yrs.
 
Hapa nazungumzia Polisi, Magereza, Uhamiaji na Zimamoto. Hawakuonekana kabisa katika shughuli za maziko ya Amiri jeshi mkuu mstaafu ila tumewaona JWTZ na JKT tu.

Ni kwa nini wasinge weka kipengele fulani hivi ambacho haya majeshi nayo yashiriki katika kuuhifadhi mwili wa Amiri jeshi mkuu mstaafu.

Tumeona vijana wa jkt wamehusika katika uchimbaji wa kaburi, ujenzi wa kaburi na ufunikaji wa kaburi.

Kwa wale mnao taka picha zipo nyingi Mtandaoni.
 
Nauliza tu watu wa itifaki mliopo hapa jamvini.

Hata kama hawakuwepo ilitosha tu kuwaita na mc akaweka kwa niaba yao.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mungu awabariki sana.

Nilikuwa nafuatilia zoezi la kura za maoni kwa wabunge wa viti maalumu pale PTA kupitia Channel ten na ghafla majira ya saa 6 na ushee mkatuunganisha moja kwa moja na Ikulu ya Chamwino tulipopokea taarifa ya msiba mubashara kutoka kwa Rais Magufuli
Na mmeendelea kutujuza yanayoendelea bila kuchoka hadi leo alipopumzishwa.

Nawatakia kazi njema!

Maendeleo hayana vyama!
 
Wa
Ni afadhali Mkapa alikuwa mtu mwenye kuruhusu maandamano na demokrasia, siku hizi andamana uone. Sijui huyu akifa watu watasema nini kuhusu mchango wake kwenye demokrasia ya taifa letu.
Wamekwishasema
 
Ila covid nyie iacheni tu. Ilichotufanyia March 17 mwaka huu ni cha kuandikwa kwa wino wa dhahabu
Kabisa mkuu!

Covid ilitusaidia sana kumuondoa yule jamaa!
Si unaona baada kuondoka yule jamaa magaidi yakaanza kukamatwa na sasa yananyea debe!

Kumbe yule jamaa alikuwa analea magaidi bana
 
Back
Top Bottom