Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Mimi hapa najiuliza watazika jioni sana. Yaani too sad wameshindwa kwenda na ratiba. Hawa wanaoaga kwa nini hawakuaga jana ?
Wanaweza kuwaacha waage hata siku mbili, kule ndio kwao.

Labda wale wana maumivu zaidi hivyo wanapewa muda wa kutosha.
 
Mimi hapa najiuliza watazika jioni sana. Yaani too sad wameshindwa kwenda na ratiba. Hawa wanaoaga kwa nini hawakuaga jana ?
Jana nafikiri muda ulikuwa mchache sana maana baada ya kufika Masasi alipelekwa kwanza kanisani kwake kukawa na misa..so kuaga walianza leo alfajiri, but hawa wote wanaoaga sasa wameipata hii nafasi kwa sababu ya kuchelewa kufika kwa JPM, wanavuta muda.
 
1596018705160.png
 
Kabisa lkn mpaka sasa kimya hakuna anayesema lolote.

Ni masaa mawili yamepita tangu mc aseme rais ataingia muda wowote
Labda kwenye kioo chao wameona kimbunga kama kile cha kule Ruangwa. Si ni maeneo ya huko huko umachingani pia?
 
Maombi na dua zetu kwa Mungu ili Rais JPM awe na afya njema na aweze kutimiza majukumu yake kwa Watanzania katika nafasi yake ya Uongozi wa nchi.

Mkono wa Mungu alie juu uendelee kutupa amani na utengamano wakati wote wa msiba na baada ya msiba.

Mungu yuko nasi, Watanzania
Amina Amina. Mungu wetu wa mbinguni amlinde na amuwezeshe.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom