Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote

Watanzania ni watu wa kulalamika sana bila kujua solution wala kufukiri juu ya utatuzi.kazi ni rahisi sana mnaweza kuandika barua kwenda makao makuu kuomba uchunguzi zaidi sababu hamna imani na umri
 
Nilipoona babake kakaa kimya na miss kimya muda mrefu nikajua hawa wana akili zao wanaandaa docs.kwa jinsi pale uzazi na vifo palivyo ni rahisi kutengeneza cheti ndani ya lisaa limoja.cha muhimu ni kujibu maswali kwa nini umri knye passport na drvng license ni tofauti na chet cha kizaliwa
 
Kwani miss world sisi huwa tunaenda kushindana navyojua huwa ni kwaajili ya shopping,kukutana na aina ya watu mbalimbali so sio kesi sana.Kwa hiyo mjadala umefungwa kura za ndio ni nyingi kama hujaridhika andaa mashindano yako.
ONLY IN TANZANIA:angry::angry:
 
Hiki cheti kimetolewa lini make ni kipya kama kimechapwa leo.mtoto wa mbunge na kazaliwa mjini na kapata passport ningetegemea cheti cha zamani saaaana siyo kipya
 
Ana miaka 23..........................................
Ana degree................................

Sijui ana mtoto,sijui ana masters huo umbea hutaki andaa mashindano yako.hahahahaha
TIME WILL TELL:hail::hail:
 
cheti.JPG
 
Nathubutu kusema miss kafoji vyeti.Siku hizi ni rahisi sana kufoji vyeti vya kuzaliwa.Nimeshaona watu wengi waliofoji vyeti vyao.....Sishangai kuona ilo
 
Jee kuhusu ile passport yake ni vipi? Au alidanganya wakati wakuomba hiyo pass? Bado maswali hayajapata majibu sahihi. Na kwa vile anapeperusha bendera ya Tz lazima ukweli uwekwe wazi sio Lundenga pekee ndio awe mwamuzi ili kumponya na kashfa baba wa binti aliyejitokeza "kuchakachua" umri.
Lazima pass ichunguzwe,na kama alitoa habari za uongo Uhamiaji ili kupata hiyo passport hilo nalo ni kosa la jinai.
 
Back
Top Bottom