Lunch mchana wa leo: Nipikiwe vipi hiki KITOWEO?

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,498
92,308
Jamani mie ndio nimetoka supermarket na nimenunua hiki kitoweo, tayari kukipeleka kwa mke wangu measkron aniandalie lunch...naombeni mnishauri nipikiwe vipi hiki kitoweo?

attachment.php
 
Attachments

  • 4932.jpg
    4932.jpg
    32.2 KB · Views: 680
Ngoja nipate staftahi kwanza.

Huyo samaki, lazima kichwa chake kinawatoa udenda wale wa akina 'idogi na ulanzi'
Wasije wakala skirin za komputa zao bure

Unakuta menyu pameandika 'dog ribs with rice'

'tree soup'?? au 'tree wine'???

:peep:
 
duh! post yako inanikumbusha hili swali la kizushi, eti kati ya Wamakonde na Wachina nani anaongoza kwa kula vitu vya ajabu?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom