Lumumba wamepigwa ganzi mpaka sasa wako kimya

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Katika hali isiyo ya kawaida,makada hawa mpaka sasa hakuna hata mmoja aliejitokeza kujibu alichosema Lissu tofauti kabisa na tabia yao hasa pale mwenyekiti wao anapuguswa.

Bila shaka wanalazimika kujipa muda wa kujipanga kujibu mashambuli maana maji yamezidi unga.

Ole wao wai-handle vibaya hii issue ndio itazidi kuwamaliza na hata kwenye media itaripotiwa.

Mnaleta ugomvi wa mawe wakati mnaishi kwenye nyumba ya vioo!!!!

Mkome!

Na bila shaka sasa mtakuwa na adabu na kuacha kuropokaropoka wakati mnasitiriwa.
 
Kuna mmoja whatsapp kila siku ananitumia manyimbo ya CCM mara jiwe kafanya hiki na kile nikamwambia nashukuru haya ninayapata mtandaoni hauna haja ya kunitumia. Hasikii wala hakomi. Nikampa block la mwezi mzima akalalamika nikamfungulia akarudi kule akawa anatuma tu.
Nikaona sasa huyu ni kudeal naye perpendicular. Nikapata hotuba moja ya Obama anaongelea democracy nikamtumia tukabishana akalala mbele, nikajakumtumia ile kauli ya mwenyekiti wao ya juzi nikasindikiza na ujumbe mzito sana.

Amekauka mpaka leo hajanitumia tena. Yan akili zao ni za kinjugumawe sana. Wakiona umekaa kimya wanaona hujui kitu. Wao kufuata mkumbo tu.
 
Saa hizi hawana hamu na hawakutarajia kabisa kamanda angefanya kitu alichofanya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom