Lumia 950XL vs Galaxy J7 Prime vs iphone 6s

Peter Madukwa

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
3,134
2,469
Salama wakuu, kwa wanaozijua hizi simu tatu Lumia (window phone) 950XL, Samsung galxy j7 prime na iphone 6s, je ipi ni nzuri zaidi.....
 
Hiyo Samsung galxy j7 umeiweka kimakosa au? mbona kama haina uwiano kabisa na hizo simu, hukuwa unamaanisha Samsung galxy s7 kweli?
 
kwa upande wa simu yenye camera nenda na Lumia 950xl na kama wewe ni mtu wa misifa chukua iPhone 6,kuhusu hiyo samsung achana nayo

nenda youtube kaangalie comparison ya 950xl vs iphone 6 alafu utatuambia
 
Mkuu ,samsung j7 prime ndio simu nayotumia,hila nimesikitika kuipambanisha na iphone 6plus,labda kwahiyo lumia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom