Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,562
- 7,348
Ngoja nisubiri party II itanoga zaidi
Majizzo siyo "ladyboy" ambaye ni feminine gay/trans male. Uwe unaheshimu watu. Mjinga wewe.Amechoka kushindana na ladyboy
Mkuu samahani swali la uelewa nini maana ya faminine gay or trans male?Majizzo siyo "ladyboy" ambaye ni feminine gay/trans male. Uwe unaheshimu watu. Mjinga wewe.
Dume jike/shogaMkuu samahani swali la uelewa nini maana ya faminine gay or trans male?
Au soma hapa utaelewaMajizzo siyo "ladyboy" ambaye ni feminine gay/trans male. Uwe unaheshimu watu. Mjinga wewe.
Anataka kum force Majizo amuoe haraka maana wale kina Dozen wanamnyima usingizi, ila nae ana roho aisee haogopi kuna wakati nae ataambiwa nyuma geuka?! maana nasikia mtu akizoea haachi.
Uwongo ukirudiwa sana unageuka kuwa ukweli bila hata chembe ya ushahidi. Pia heshima kitu cha bure nyie wadada.Mkuu povu la nini huu ubuyu mrefu kama hufahamu uliza.
Au soma hapa utaelewa
Majizzo siyo "ladyboy" ambaye ni feminine gay/trans male. Uwe unaheshimu watu. Mjinga wewe.
Kusema tu huna stress ni stress toshaWakati wanazengo wakisubir kwa hamu harusi ya super staa kutoka katika kiwanda cha bongo movie , Elizabeth Michael , maarufu kama Lulu, Mwanadada huyo amepost video kwenye insta story yake ikiambatana na caption inayosomeka hivi “ Umekaa zako umetulia tuliii....Huna stress upo single , unakula bata, halafu kaka mmoja BOOM anakufanya u fall in love , bro hupendi maendeleo ya kina dada au ?” Aliandika hivyo lulu michael bila kufafanua zaidi kama huenda hiyo caption inamhusu yeye au ilikua ni Kiki tu.
Wanazengo wametafsiri caption hiyo kama ishara ya red light , huenda suala la ndoa halipo tenaView attachment 1124990