Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
mbona kadogo hivi?
kijana aliangukaje kwa kabinti kama haka jamani?
RIP brother!
mkuu udogo wake hauko vipi umri au umbo.....?maana kichwa cha treni kidogo lakini kina vuta ma behewa kama 30.mtoto mashine yake six silinda injini nyuma mbele,ilaa kana faa kwa kulumangia na kachumbarimbona kadogo hivi?
kijana aliangukaje kwa kabinti kama haka jamani?
RIP brother!
Yupo vizur mtoto
...... injini nyuma mbele,ilaa kana faa kwa kulumangia na kachumbari.....
Kumbe nywele hana mmmhhh haya mawig yanaokoa warembooo
Tujaribuni kupost vitu vyenye maana kdg jmn
Tujaribuni kupost vitu vyenye maana kdg jmn
Umeanzaaaaaaa,halaf we stunna kuweka picha warembo tu mpaka warumi siku hiz ananisahau bora uweke za kiingreza tu halaf bila pichaaaaa