Lulu ameruhusiwa vipi kuingia na hili vazi kanisani?

Kila Mja Ni shahidi wa nafsi yake na kila mtu atavuna analichopanda.sisi wenye kujua ukweli tujenge imani kwenye mwamba
 
Dini nyingi kwa sasa ni biashara au miradi ya viongozi wa hizo dini kuvuna pesa.
Ningekuwa muumini wa kikristo na kusali katika hilo kanisa ningechukua hatua hizi.
1. Nisingetoa sadaka ili kushinikiza maadili ya kidini yafuatwe.
2. Ningehamasisha waumini wengine wafuate msimamo wangu.
 
Kikubwa ni kwamba wamefunga ndoa, waweze kuishi maisha ya utakatifu badala ya kuwa wazinzi. Kumbuka, wapo wanaovaa vizuri lakini hawataki kufunga ndoa
Umesema kweli mkuu,watu wanavaa maushungi hata jicho hulioni lkn Ni wachafu balaa.
 
Sema pia bi kharusi wa siku hizi hawanaga aibu kabisa, mtu anaingia kanisani na shela lake huku anapiga zake kelele 'oyoooh'...!😂

Niambieni ni Kanisa gani ili tusilaumu Wachungaji kumbe hata Kanisa lenyewe ni la chini ya mti.Imefungwa leo Juma5.
 
Kwaresima jtano ya majivu kesho inaanza kutukumbusha kuwa sote tunatenda dhambi na tunahitaji toba na msamaha wa Mwenyezi Mungu, wote narudia wote....
 
Kikubwa ni kwamba wamefunga ndoa, waweze kuishi maisha ya utakatifu badala ya kuwa wazinzi. Kumbuka, wapo wanaovaa vizuri lakini hawataki kufunga ndoa
Unafika zako kwa Muuza Ubwabwa ..Baba Ntilie, unamuhoji usafi wa jiko lake na kama anazingatia usafi wakati wa kuandaa chakula. Anakujibu ndio na unaridhika.. unaomba unadaliwe chakula na unalipa.

Anamaliza ili akupatie chakula, unatoa kibebeo kichafu.. anahoji kulikoni.. jibu lako ni, kwa kuwa umezingatia usafi haina neno.. weka tu.. kikubwa umekiandaa kwa usafi wa hali ya juu.. :)

(Mch. Nimekumbukaw Leo. Ahsante kwa somo)
 
Naamini sasa hizi dini mwenye pesa haambiwi kitu, yani kuna muda huwa hata natamani kuslim maana hawa wenzetu wanazingatia sana maadili ya mwanamke hasa kwenye mavazi , hebu angalia hiyo picha binti kifua kipo wazi hivyo anaruhusiwa vipi kuingia ndani ya kanisa hivyo

Sina wivu jamani ila naangalia uelekeo wetu na kizazi kijacho

View attachment 1703982

Picha kwa hisani ya page ya mwananchi online..
Kanisa gani?
 
Back
Top Bottom