Lulu ameruhusiwa vipi kuingia na hili vazi kanisani?

Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
437
1,530
Naamini sasa hizi dini mwenye pesa haambiwi kitu, yani kuna muda huwa hata natamani kuslim maana hawa wenzetu wanazingatia sana maadili ya mwanamke hasa kwenye mavazi , hebu angalia hiyo picha binti kifua kipo wazi hivyo anaruhusiwa vipi kuingia ndani ya kanisa hivyo

Sina wivu jamani ila naangalia uelekeo wetu na kizazi kijacho

150661630_10159156291589339_5140648729912042895_n.jpg

Picha kwa hisani ya page ya mwananchi online..
 
Naamini sasa hizi dini mwenye pesa haambiwi kitu, yani kuna muda huwa hata natamani kuslim maana hawa wenzetu wanazingatia sana maadili ya mwanamke hasa kwenye mavazi , hebu angalia hiyo picha binti kifua kipo wazi hivyo anaruhusiwa vipi kuingia ndani ya kanisa hivyo

Sina wivu jamani ila naangalia uelekeo wetu na kizazi kijacho

View attachment 1703982

Naunga mkono
 
MK

MKUU VIONGOZI WA KANISA WANACHOHITAJI NI SADAKA TU WEWE HATA UKIENDA UCHI WATAKUAMBIA MUNGU HAANGALII MAVAZI
 
Kumbe mambo yamekuwa hivyo.

Kuna washikaji zangu wote waliokuwa wanasema wana wito wa kuwa mapadri ila wote wamekimbia.

Huwa nawatania nawaambia huko mbele unaweza tukapata viongozi wa dini walienda kusoma upadri kwa course za muda mfupi ili wapatikane.

Maana hadi sasa sheria zinaonekana ngumu.

Ila kwa hili bibi harusi kuvaa hivi ni tatizo.
 
Naamini sasa hizi dini mwenye pesa haambiwi kitu, yani kuna muda huwa hata natamani kuslim maana hawa wenzetu wanazingatia sana maadili ya mwanamke hasa kwenye mavazi , hebu angalia hiyo picha binti kifua kipo wazi hivyo anaruhusiwa vipi kuingia ndani ya kanisa hivyo

Sina wivu jamani ila naangalia uelekeo wetu na kizazi kijacho

View attachment 1703982

Picha kwa hisani ya page ya mwananchi online..
Oya sie tushakula ubwabwa wa harusi hayo mengine wanajua wao na Wachungaji wao
 
Zamani kwa sisi waafrika chakula ya watoto haikuwa sehemu ya siri, wala hakuna mtu alikuwa anaibusti na kuipimpu,
Lakini kwa sasa baada kupokea ustaarabu wa ulaya ebu jamani tuisitiri na kuilinda, ni ayo tu kwako mwalimu kashasha.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom