Lulu ameruhusiwa vipi kuingia na hili vazi kanisani?

Mama amiiiiiinaaaaaaaaaa


Tumjibu mtoa mada hata kimoyomoyo

Najua wengi mmemjibu
 
Ma slay queen watapata tabu sana mbinguni kuvaa zile kanzu ndefu siku zote. Kwa ujinga wao wanaweza kuanzisha movement kuwa wawe wanavaa kama huyo bibi harusi alivyo vaa, hapo ndo watajua Mungu akichafukwa huwa anakuwaje..
 
Nasikiaga eti siku hizi Dunia imevaa chupi halafu mpaka baadhi ya viongozi wa dini wamevurugwa
 
MK


MKUU VIONGOZI WA KANISA WANACHOHITAJI NI SADAKA TU WEWE HATA UKIENDA UCHI WATAKUAMBIA MUNGU HAANGALII MAVAZI
Acha kupotosha wakati sehemu nyingi wameweka na aina ya mavazi yasiyoruhusiwa/kuruhusiwa kuingia nayo kanisani?!!
 
Report katika kituo cha police kilicho karbu nawe
Alifikishe FIFA Hili Jambo
πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜€πŸ˜€
 
Nyie mnaouliza "kanisa gani" "kanisa gani" kwani nyie mlidhani ni kanisa gani? Na mbona mkishajibiwa hamrudi tena kusema kitu? Ni la kwenu eeeh?
 
Back
Top Bottom