Kauli za kujifariji kama hizi na kuhalalisha ujinga ndio vinaua ukristo.Kikubwa ni kwamba wamefunga ndoa, waweze kuishi maisha ya utakatifu badala ya kuwa wazinzi. Kumbuka, wapo wanaovaa vizuri lakini hawataki kufunga ndoa
Kama vile nikotoka kwetu Malawi nakuja kukuposaHuu ni mwaka wa neema maana sio kwa uchumba huu sugu wa lulu!
Wote tutakao olewa mwaka tusema emeeen
Umesema kweli mkuu,watu wanavaa maushungi hata jicho hulioni lkn Ni wachafu balaa.Kikubwa ni kwamba wamefunga ndoa, waweze kuishi maisha ya utakatifu badala ya kuwa wazinzi. Kumbuka, wapo wanaovaa vizuri lakini hawataki kufunga ndoa
Huu ni mwaka wa neema maana sio kwa uchumba huu sugu wa lulu!
Wote tutakao olewa mwaka tusema emeeen
Roman CatholicNi kanisa gani hilo sio kwa tapeli gwaajima
Niambieni ni Kanisa gani ili tusilaumu Wachungaji kumbe hata Kanisa lenyewe ni la chini ya mti.Imefungwa leo Juma5.Sema pia bi kharusi wa siku hizi hawanaga aibu kabisa, mtu anaingia kanisani na shela lake huku anapiga zake kelele 'oyoooh'...!😂
Yaani uende uchi halafu waseme mungu haangalii mavazi? Ukienda uchi inabidi waseme mungu haangalii uchiMK
MKUU VIONGOZI WA KANISA WANACHOHITAJI NI SADAKA TU WEWE HATA UKIENDA UCHI WATAKUAMBIA MUNGU HAANGALII MAVAZI
HahaYaani uende uchi halafu waseme mungu haangalii mavazi? Ukienda uchi inabidi waseme mungu haangalii uchi
Unafika zako kwa Muuza Ubwabwa ..Baba Ntilie, unamuhoji usafi wa jiko lake na kama anazingatia usafi wakati wa kuandaa chakula. Anakujibu ndio na unaridhika.. unaomba unadaliwe chakula na unalipa.Kikubwa ni kwamba wamefunga ndoa, waweze kuishi maisha ya utakatifu badala ya kuwa wazinzi. Kumbuka, wapo wanaovaa vizuri lakini hawataki kufunga ndoa
Kanisa gani?Naamini sasa hizi dini mwenye pesa haambiwi kitu, yani kuna muda huwa hata natamani kuslim maana hawa wenzetu wanazingatia sana maadili ya mwanamke hasa kwenye mavazi , hebu angalia hiyo picha binti kifua kipo wazi hivyo anaruhusiwa vipi kuingia ndani ya kanisa hivyo
Sina wivu jamani ila naangalia uelekeo wetu na kizazi kijacho
View attachment 1703982
Picha kwa hisani ya page ya mwananchi online..