Lulu ameachwa na Majay?

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Baada ya kuonekana kwenye tuzo akiwa alone na kuulizwa yupo wapi jamaa yake na kuwa mkali, wambea wamedai huenda mrembo huyo ametemwa na jamaa yake huyo, kutokana na yeye ku demand sana uwepo wake kwake wakati jamaa ni mtu wa biashara na anakosa muda wa mapenzi ya ki sekondari na ya show off
 
Zika ipo kama dizaini ya ugonjwa wa matende hivi.

So its not such a big deal.

Sema tuu yule mama alipotoka akataka kui panikisha jamii bure.
 
Aka kanyimbo kananikumbusha mbali

Ooooh lulu oooooohoooh lulu kweli ndani ya yesu kuna raha ya ajabu
Ooooh lulu Niko mbinguni nakula matundaaaa daaaaaaaam
Tiririiiiiiiiiiiiiii

Lulu lulu lulu lulu
 
Kwani wale waliofanyiwa utafiti si wapo kwanini wasitafutwe ili wafanyiwe vipimo ili kujiridisha ili kujua muongo ni yupi?
 
Kwani wale waliofanyiwa utafiti si wapo kwanini wasitafutwe ili wafanyiwe vipimo ili kujiridisha ili kujua muongo ni yupi?


Watapimwa saa ngapi. presidaa kashaamua kumrudisha mtu kijijini. Atajiju mwenyewe. Presidaa huyu, khaa namgawa bure.
 
Sasa nikajiulizaaa mbona hamissa kaachwa na huku kazaaa mtoto nikapata majibu mawili
1.labda papuchi imeongezeka ukubwa
2..labda kwakuwa muonekano wa hamissa ni fanta na pepsi

Ila lulu namjuaa toka utoton sasa kama kaachwa sababu sijapata labda kama ni rambo saaa hz kwa lulu
 
Back
Top Bottom