Lulu ajifungua mtoto wa kiume...

Lulu kaokolewa na majizo...kamtuliza na

kumshepu..

Lakini ndio wale wale...

Akuwe kweli sasa..

Majizo kidume hongera kaonyesha mfano

wa kudhibiti mtoto mzuriii..katulia na hela

iwepo lakini..
 
Mbona gharama kubwa hivyo?

Ulikuwa ni ugonjwa wa kawaida au ni magonjwa yenye kuhitaji vipimo vikubwa
Vipimo vikubwa na operation pia, tulilazwa siku 6, room per day ni laki 3......
 
Aga Khan ni wezi tu kama wezi wengine, mwanangu alilazwa siku 6, tulisaini bill ya million 14, Dr aliyemtibisha mtoto akasema tumpeleke bill aone kilichoandikwa ni sahihi baada ya kuikagua zilipungua kama million 2 hivi, na wakikuona una bima ndio wanakupiga balaa
Pole xna ram njo kcmc hakuna bili za kijingajinga
 
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom