Lukuvi william ajiandaa kulamba nondo ya masters by thesis kutoka out | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lukuvi william ajiandaa kulamba nondo ya masters by thesis kutoka out

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Maarifa, Feb 24, 2011.

 1. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Mh. William Lukuvi alkuwa katika kiti moto leo akitetea shahada yake ya uzamili kwa njia ya utafiti tu. Jamaa kama ni kutunza vitu kichwani amejitahidi. Maana alijibu maswali sawasawa bila kubabaika. Wengi walidhani amefyatua kutoka pahala Lakini inaoenekana ame cram vema sana. Na jopo la Maprof na madons wamepitisha verdict kuwa aifanyie marekebisho kidogo then awasilishe. Hivyo Graduation IJayo katika foelni ya OUT atakuwepo William Lukuvi atazamia hapo. Very reliable sources.
   
 2. Poetik Justice

  Poetik Justice Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  Hongera zake, so he will be more intelligent and tactful I hope..
   
 3. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Lets wait. Maana makaratasi kwingine na Kazi kwingine. At least anafuta aibu ya kile kitabu cha degree na award feki.
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Afadhali Boss wangu wa zamani kajiendeleza aahhh walikuwa wakimsema sana kuwa ni Form IV
   
 5. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  fisadi hata liwe liprofesa ni fisadi...
   
 6. m

  mams JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hao OUT ndiyo waliomtunuku first degree!
   
Loading...