Lukuvi: Ripoti ya fedha za Uswis haijakamilika

Chibolo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,973
6,442
Akiongea bungeni leo jioni amesema taarifa haijakamilika kutokana na baadhi ya sheria za kimataifa kuzuia kupata baadhi ya taarifa muhimu.Watz wenzangu kwa kauli hii tayari tumeliwa.
 
kulikuwa hakuna lolote, ripoti ya fedha hizi ilikuwa ni fake kwa ajili ya kumpromoti ZZK kwa kumwandaa kwa haya yaliyotokea, kama zito anaelewa kila kitu, je uchunguzi unaotafutwa ni upi ?
 
Hata wakijitaidi vipi hawawezi kuikamilisha wao maCCM kwahiyo nawashauri mambo yoote yenye kuhitaji maamuzi magumu waiachie CDM itakuja kuanza nayo 2015,ila wasikimbie nchi wakasema tunalipa visasi make walipewa wao wakashindwa ikiwa angali kweupeee

Kuanzia EPA,RADAR,TEMBO,VIWANDA,MADINI,GESI,ARDHI,N.K N.K
 
kulikuwa hakuna lolote, ripoti ya fedha hizi ilikuwa ni fake kwa ajili ya kumpromoti ZZK kwa kumwandaa kwa haya yaliyotokea, kama zito anaelewa kila kitu, je uchunguzi unaotafutwa ni upi ?
Vipi! Labda anaw ekewa kwenye account yake ili apigie
 
Akiongea bungeni leo jioni amesema taarifa haijakamilika kutokana na baadhi ya sheria za kimataifa kuzuia kupata baadhi ya taarifa muhimu.Watz wenzangu kwa kauli hii tayari tumeliwa.

nimemsikia na nimemuona,lakini naona ndo yaleyale,hata majibu ya mawaziri naona wanapiga hadith
 
Back
Top Bottom