Lukuvi: Nitamchukulia hatua mfanyabiashara aliyempa Makonda ardhi kwa ajili ya Viwanda

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,685
22,694
Waziri wa Ardhi William Lukuvi amesema atamchukulia hatua mfanyabiashara aliyemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda eneo kwa ajili ya viwanda kwa kuwa eneo hilo sio lake ni mali ya serikali."Sitaki ardhi itumike kama sehemu ya wafanyabiashara kutakatishia fedha zao chafu," alisema Lukuvi.

=====

Lukuvi kumchukulia hatua aliyempa Makonda shamba
lukuvi+makonda_1.jpg

Dar es Salaam. Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amesema atamchukulia hatua mfanyabiashara aliyemkabidhi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda eneo kwa ajili ya viwanda kwa sababu eneo hilo si lake ni mali ya Serikali.

“Sitaki ardhi itumike kama sehemu ya wafanyabiashara kutakatishia fedha zao chafu,”amesema Lukuvi leo (Jumatatu) katika mkutano na waandishi wa habari.

Lukuvi amesema anataka watu wote wanaomiliki maeneo mijini kujisalimisha kwa maofisa ardhi wa wilaya wa ajili ya uhakiki.

Chanzo: Mwananchi

Kuna mjadala unaendelea hapa JamiiForums kuhusiana na Hii ardhi alopewa Mkuu wa Mkoa Dar Es Salaam Mh Paul Makonda hapa=>Angalizo kwa Rais na RC Makonda kwa kupewa ekari 1500
 
Waziri wa Ardhi William Lukuvi amesema atamchukulia hatua mfanyabiashara aliyemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda eneo kwa ajili ya viwanda kwa kuwa eneo hilo sio lake ni mali ya serikali."Sitaki ardhi itumike kama sehemu ya wafanyabiashara kutakatishia fedha zao chafu," alisema Lukuvi.

[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG].

Hahahhahahahahahahahah naona mnara wa babeli unajengwa.GSM hao.Naona kipele kimepata mkunaji.
 
Rc asipende kufanya mambo kwa kukurupuka

Ova
Waziri wa Ardhi William Lukuvi amesema atamchukulia hatua mfanyabiashara aliyemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda eneo kwa ajili ya viwanda kwa kuwa eneo hilo sio lake ni mali ya serikali."Sitaki ardhi itumike kama sehemu ya wafanyabiashara kutakatishia fedha zao chafu," alisema Lukuvi.

[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG].
 
Waziri wa Ardhi William Lukuvi amesema atamchukulia hatua mfanyabiashara aliyemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda eneo kwa ajili ya viwanda kwa kuwa eneo hilo sio lake ni mali ya serikali."Sitaki ardhi itumike kama sehemu ya wafanyabiashara kutakatishia fedha zao chafu," alisema Lukuvi.

[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG].
huko juu naona ni vururu vururu tu.

hii movie iko pazuri. sijui kama steringi atapona. au atauawa?
 
Back
Top Bottom