Lukuvi Kwenye Ibada ya Mazishi ya Ndesamburo na Magari Mawili Ya Polisi Wenye Silaha: Tafsiri

Ushajimilikisha ujuaji tutashauriana VIP hapo.

Hata hivyo asante kwa mawazo yako.
Sio suala la ujuaji. Wewe unajijua uko darasa la sita na unataka ukahudhurie lecture za form six, halafu unaanza kusumbua watu na comments zako ambazo hazina mshiko baada ya kushindwa kuelewa mambo. Nani amekuambia udandie lecture za form six wakati wewe ni darasa la sita?

Kuwa memba wa JF haina maana uchangie kila thread. Kama huelewi topic uliza kabla ya kuanza kulaumu au kusifia.
 
Unavyoenda kuwatisha raia ktk Msiba ni dhana nyinginge wanaiotesha na hili naona linaota lakini wakumbuke baadaye hubadikika na kuwa ujasiri ambao hao wanaofanya hivyo wamebaki kuwa na hofu
 
Haina shida sana hali mradi askari wale hawakuwabughudhi wananchi na mambo yote yalienda sawa kabisa, maana ulinzi kwa viongozi una nafasi yake kiitifaki hivyo siyo wa kupuuzia younever know.
Hao Hao Askari wawalinde Mungu asichukue roho zao! Wanadamu wakiwa hai kwa majigambo huwawezi
 
Mbona mnajidhalilisha ile abarua mliyo andika kwa jeshi la polisi kuomba ulinzi mlitaka mletewe Nyumbu wawalinde au polisi?
 
eti kupeleka askari kwenye, misiba! Wakiambiwa tunataka kufanya mkutano tunaomba askari utasikia hatuna askari wa kutosha hivyo mkutano usifanyike.
 
Symbolising Power and Authority over opposition leaders.

Hahahahahhahahha kama hata wakifa wataingia nao KABURINI sawa,it is just matter of time,tukidonolewa kama vifaranga tunakuwa kama MBOGO aliyejeruhiwa mfano mzuri Nape
 
Swali lako lilikuwa polisi walikuja kufanya nini msibani? Nyie mmendika barua kuomba ulinzi kwaajili ya usalama msibani.

Leo unahama msibani unaenda mikutanoni tukuelewe nini?
 
Sio suala la ujuaji. Wewe unajijua uko darasa la sita na unataka ukahudhurie lecture za form six, halafu unaanza kusumbua watu na comments zako ambazo hazina mshiko baada ya kushindwa kuelewa mambo. Nani amekuambia udandie lecture za form six wakati wewe ni darasa la sita?

Kuwa memba wa JF haina maana uchangie kila thread. Kama huelewi topic uliza kabla ya kuanza kulaumu au kusifia.

less
 
Unauhakika gani hao polisi walikwenda kisa Lukuvi na sio kuhakikisha usala unakuwepo eneo hilo kwa ujumla?
Kwanini Kiki hadi misibani nyie watu!!
Huu upuzi wenu hamuoni hata aibu?
Mnaishiwa vibaya sana
Uliwahi kusikia wapi watu wanafanya fujo misibani? Sema wizi wa kura ndio unawapa hofu inayowafanya watembee na polisi hadi misibani, hata wakuu wa wilaya nao wameanza kutembea na polisi wanamhofia nani?
 
Back
Top Bottom