Lukuvi Kwenye Ibada ya Mazishi ya Ndesamburo na Magari Mawili Ya Polisi Wenye Silaha: Tafsiri

Lukuvu alikuja kwa niaba ya serikali, kwa maana hiyo itifaki nzima ya serikali lazima izingatiwe.

Bavicha acheni kuokoteza Viroja tafuteni hoja.
 
Haina shida sana hali mradi askari wale hawakuwabughudhi wananchi na mambo yote yalienda sawa kabisa, maana ulinzi kwa viongozi una nafasi yake kiitifaki hivyo siyo wa kupuuzia younever know.

Ndiyo magari mawili yenye askari wenye SILAHA alikuwa anaenda vitani ama!
 
Ndiyo magari mawili yenye askari wenye SILAHA alikuwa anaenda vitani ama!
Hapana ni kufuatia taarifa za kiinteligensia kuhusu hali ya usalama wa Mh Moshi mjini.
Ndiyo maono ya vyombo vya usalama, sasa utafanyaje? Maana lazima vitimize wajibu wake.
 
Unauhakika gani hao polisi walikwenda kisa Lukuvi na sio kuhakikisha usala unakuwepo eneo hilo kwa ujumla?
Kwanini Kiki hadi misibani nyie watu!!
Huu upuzi wenu hamuoni hata aibu?
Mnaishiwa vibaya sana
Mbona kabla ua Lukuvi hawakuenda kuangalia usalama
 
Weka picha basi tuone kama hao askari wote wa magari mawili walikuwa nyuma ya Lukuvi wanamlinda.
 
Hapana ni kufuatia taarifa za kiinteligensia kuhusu hali ya usalama wa Mh Moshi mjini.
Ndiyo maono ya vyombo vya usalama, sasa utafanyaje? Maana lazima vitimize wajibu wake.

Kibiti IGP alienda na magari mawili tu la kwake na msaidizi wake ila kwenye msiba kunaweza tokea vita duh!Haya bwana hongera
 
Ulitakiwa ushangae jeneza la Ndesamburo kuingizwa kanbisani likiwa limefunikwa nembo za CHADEMA kwani kule kanisani ulikuwa mkutano wa SIASA? Hivi viongozi wa dini hawakuliona hilo?

View attachment 520678

Hujaona Majeneza ya makada wa CCM yakifunikwa bendera za CCM?Sasa tofauti yake nini Mwanachama na kiongozi wa Chadema akifunikwa na bendera ya Chama chake??

Mkuu acha ujinga wakati mwingine fikiria outside the box
 
Utawala wenye hofu na dhambi juu ya walichokifanya kupata madaraka na wanayoendelea kuyafanya.....wanakosa usingizi na adhabu kali sana wanayopata.
 
Kwamba watanzania wanaogopa polisi? Nilikuwepo msibani na hakukuwa na hofu yoyote. Mwandishi amekosa weledi
 
Back
Top Bottom