Lukuvi hebu iokoe NHC isiendekeze makodi ya Mchechu kipindi cha kupiga dili

Kuna mambo yanasikitisha sana...

Hata kwenye nyumba za makazi za NHC unakuta kodi ya serikali laki na nusu... ila lilanguzi limoja linahodhi nyumba za NHC kibao na kuzipangisha kwa laki 5...



Cc: mahondaw
 
Kiukwel Mchechu kwa mtazamo wangu he was a Failure DG..
1.Poor financing strategy..
Hivi unajengaje nyumba ya chumba na sebule kigoma au Mara huko alafu uuze kwa 50M?
2.Customized housing...
Yeye anajenga kota kama vile watanzania wote tunapenda kuishi kwenye kota kama vile tunafanya kaz eneo moja...
Kwanini asiendeleze viwanja na nyumba kuu na kupata returns
Miji kama Kigogo, Mabibo, Majengo Moshi, Musoma,Arusha,Dodoma,Mabatini Mwanza,Vingunguti na Buguruni kwanini usiendeleze in partnership na owners... yani na Hilo hadi ukanunue viwanja 20km from town sio ujenge alaf uuze kwa Bei za mizimu? Interest rates za ajabu

3.Market rates and affordable houses
Kuna kipindi alisema kuwa na cheap houses is a dream... a kawa anauza apartment 200M. .. bongo hapa
Yani ukiangalia anachosema na kaz aliyonayo na vision ya shirika have ndani hata kidogo..... alikuwa kama anawajengea wahine na wabongo wachache mno.....
Ahsante kwa Magu angalao ule uhuni umestop. ..
Sasa tunataka mwana mapinduzi champion atakaeweza kulitoa shirika lili po sasa
Umeonambali sana mwa mtindo ule hata aliowaachia lazima washinde kazi. Katengeneza shida ambazo mpaka wazitatue shirika litabaki mifupa. Lukuvi hapa lazima akae chini na wadau watoe bei elekezi. Huku posta watu wanakimbia na mamilioni ya madeni si kwa kupenda bali kufilisika kabisa
 
Back
Top Bottom