Lukuvi atumia vifo vya wanafunzi kwa maslahi binafsi. imethibitika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lukuvi atumia vifo vya wanafunzi kwa maslahi binafsi. imethibitika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mvaa Tai, May 20, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu wa Bunge, Wiliam lukuvi, amekana kumiliki vitalu katika msitu wa sao hill kama ilivyodaiwa na katibu mkuu wa CHADEMA Dk wilbrod Slaa katika mikutano yake mkoani Iringa.

  Akizungumza jijini Dar es salaam jana na Tanzania Daima waziri lukuvi, alikanusha madai hayo mbayo alidai ni ya uongo na yenye lengo ya kumchafua kisiasa.

  Lukuvi ambaye ni mbunge wa jimbo la isimani mkoani Iringa, alisema kuwa aliandika barua kwa mkurugenzi wa idara ya misitu na nyuki mwishini mwa mwezi Mei mwaka 2009, ili kuomba kukata mbao kwa ajili ya ujenzi wa shule ya Idodi ambayo iliungua na baadhi ya wanafunzi kupoteza maisha kutokana na ajali ya moto

  Wakati lukuvi akisema aliomba kibali mwezi Mei 2009 kwa ajili ya shule ya Idodi iliyoungua, kumbukumbu zinaonyesha kuwa shule hiyo iliungua Mwezi Agosti 2009 na kuungua tena Oktoba mwaka huohuo.

  Source: Tanzania Daima la leo ukurasa wa tatu

  Maoni: Kwa kitendo cha lukuvi kushindwa kukanusha ufisadi wake na mbaya zaidi kuongopa hadharani anatakiwa kuwataka radhi wananchi wa Iringa kwa kujaribu kutumia matatizo yao ili kujinufaisha binafsi, haiwezekani kiongozi kama yeye kutumia matatizo makubwa yaliyohusisha vifo vya wananchi katika kutaka kuhalalisha wizi wa mariasili yetu. Lakini wakae wakijua Watanzania wamekwisha shtuka hatma yao imefika.
   
 2. Mwana CCM.

  Mwana CCM. Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbuka Tanzania Daima limewahi kumtaka radhi mwakyembe kwa kumzushia habari za uongo. mimi napita tuu hapa
   
 3. Double X

  Double X Senior Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  LUKUVI hakuna alichoongea,aje na uthibitisho kuwa alivuna miti kadhaa na kuthibitisha kuwa yote ilipelekwa idodi without that we will continue agreeing with DR SLAA allegations and we will prove how bigger MORON he is!!!!
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mwezi mei aliomba kibari kwa ajili ya tatizo la moto mwezi august alijuaje kwamba miazi mitatu mbele kutatokea hilo tatizo? hapa ndipo kanichanganya
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  Umefufuka mjumbe wa shina la magamba?
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Haya etu macho
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  riziwan akanusha kuwa yeye si fisadi
   
 8. kibakwe

  kibakwe Senior Member

  #8
  May 20, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawa watu wanataka nini?kwa nini waachie nyazifa zao na kuiacha Serikali yetu.Wamejimirikisha VITALU pamoja na chawene.DUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...