Lukuvi aongoza ubomoji wa Golden Tulip

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12647387_1032280546836403_556025580324363557_n.jpg
 
.....utalii chaliiii......!?/ wises needed! / hapo angetakiwa apewe taratibu maalumu za ku- coserve enviroments,yapo mambo na mambo!/OVER!
 
angevunja la mama rwakatare kwenye hifadhi ya mikoko ndo ningejua kweli lukuvi noma sijui wanamuogopea nini yule mama. Walivyochora x kwa mbwembwe siku ile halafu mpaka leo hakuna kitu wameishia kuvunjia masikini
 
Mkuu kuna majipu mengine yamekaa vibaya
Mama yetu yule ni kada mzuri tu unataka na ye tumsomeshe namba
 
NImechoka kabisaaa. Yaani uzio tu...

Haya mh. hako ni kajipu uchungu ;lakini
 
Back
Top Bottom