Lukuvi anautaka uwaziri mkuu?

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,645
Salaams,
Kuna tetesi kwamba katika awamu hii inayoendelea, tangu kuteuliwa uwaziri, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambaye sasa ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Mh. William Lukuvi anautaka uwaziri mkuu pindi awamu ya tano itakapoingia. Tetesi zinasema ndio maana amekuwa mnoko na upendeleo hata kwa jambo lililowazi kabisa ili taasisi ya urais imkumbuke pindi wakati utakapofika.
Chanzo ni mbunge mmoja wa Tabora (Jina limehifadhiwa kwa sababu za kiuandishi).
Nawasilisha.
 
lakini elimu yake ina utata! sio mtu msafi kwa nafasi ya uwaziri mkuu.
 
huyo jamaa huwa anajiona kuwa anapiga kazi sana.anajisifu sana,inawezekana anautaka uwazuri mkuu.ingekuwa enzi zao zileeeeeeeee,mngesika o mara pinda ajali,mara kaanguka chooni.enzi zile za kingunge,noma mwulizeni nape atawapasha vizuri.
 
Ndugu LUKUVI anafanya kazi aliyotumwa na Mhe. Rais hata ungekuwa Wewe umeteuliwa kuwa WAZIRI WA NCHI(URATIBU&BUNGE tu) ungefanyaje? maana hakuna zaidi ya hilo la kudhibiti kauli Bungeni. SERIKALI YA JK imeunda WIZARA/VYEO/UWAZIRZI ZA ULAJI ikiwzazmo hii zyaz LUKUVI, WA HASIRA "gombe product" naz ile ya MUUNGANO kimsingi sioni kazi wanazofanya maana ni kama duplication ya wizara nyingine, wakati huo huo kuna WAZIRI ASIE NA WIZARA MAALUMU, PROFESA MARK MWANDOSYA (PhD) siasa za Africa ni UCHWARA hakika PhD holder Mwandosya anakuwa Spea Tairi...KWA STYLE HII SASA HIVI UTASIKIA WIZARA YA KUSHUGHULIKA NA CHADEMA tu.....Najiuliza hiv viongozi wetu wanafikiria kweli?
 
huyo jamaa huwa anajiona kuwa anapiga kazi sana.anajisifu sana,inawezekana anautaka uwazuri mkuu.ingekuwa enzi zao zileeeeeeeee,mngesika o mara pinda ajali,mara kaanguka chooni.enzi zile za kingunge,noma mwulizeni nape atawapasha vizuri.
,mara ooooh kolimba kashindwa kupumua,mara ooooh dr omar ali juma kaishiwa pumzi ghafla,mara oooooh mwakyembe kaishiwa kila aina ya unywele.Umenifurahisha sana mkurugenzi.
 
lukuvi hana ubavu wa kuukwaa uwaziri mkuu...ni kama wale watu wanaokua mamesenger kwenye ofisi kazi yao kubwa ni kutumwa tumwa na mabosi...
 
huyo jamaa huwa anajiona kuwa anapiga kazi sana.anajisifu sana,inawezekana anautaka uwazuri mkuu.ingekuwa enzi zao zileeeeeeeee,mngesika o mara pinda ajali,mara kaanguka chooni.enzi zile za kingunge,noma mwulizeni nape atawapasha vizuri.

Atahamia chadema?maana 2015 CDM ndio chama tawala sasa uwaziri mkuu ataupataje??
 
lukuvi hana ubavu wa kuukwaa uwaziri mkuu...ni kama wale watu wanaokua mamesenger kwenye ofisi kazi yao kubwa ni kutumwa tumwa na mabosi...

Vinchi kama Tanzania huwa vinakuja na record za ''high growth of economy" lakini mara nyingi huwa tuanshuhudia ""Low development"! hapo je! kunani watu wanazidi kuwa masikini!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom