Lukuvi amewapa nini watu wa Jimbo la Isimani?

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,669
Habarini wanajamvi...mwezi uliopita nilikuwa Mkoani Iringa....nilikaa kwa zaid ya mwezi mmoja na nusu.Kweli jimbo la Isman Masikini!! Safar yangu ilikuwa ya kiutafiti zaidi..ivo nlipata bahat ya kuzunguka jmbo la Ismani, kuanzia Idodi, Pawaga, Isman Tarafani (Lwang'a), Nyang'oro, Izazi mpaka Migoli...kwa kweli hali ni mbaya sana.

Maji:Katka vijiji ving hasa vya Migoli,izaz na pawaga watu wanategemea maji ya makorongo na madimbwi...hakna maj ya uhakika,wanapokunywa punda na ngedere ndpo bnadamu wanachota..ni maj mekundu kwa rang yanayotokana na makolongo yanayoptsha maji msimu wa mvua. Wananch n maskini,hawana barabara za uhakika,soko la mazao achlia mbali ata huduma ya umeme apo Isman kwenyewe kwenye jna la Jmbo hakna mwanga...Shughuli nyng za maendeleo znaletwa na Mashirka ya dini hasa wamisionary.

Shule nying zlizojengwa zmejengwa kwa mikono ya mashrika ya dini...!wananch wanalia kwa kibri na Lugha ngumu ya mbunge wao "hata msiponichagua wa Pawaga wa Isman watanchagua,au hata wa Migol msiponchagua wa Izaz watanpa" Hata ivo ngvu za upnzani ktk Jmbo hli ni ndogo sana.

Dr.Kapwani alyekuwa mgmbea kwa Tiket cha Chadema uchaguz wa mwaka jana,alishndwa kurudisha form adi dk za mwisho.,na kmfanya azbe nafas kwa upnzani..japo badae zlpatkana taarifa kala Mlungula il Vangmembe Lukuvi apte bla kupngwa...na hatmae Lukuv kuhamishia majesh yke Irnga mjini japo "Alichemsha"...Na Dr.Kapwani alyekula Mlungula ivi sasa kapooza sehem ya mwili wake.

(Mungu ampe Nguvu tena) Note:Kwa nia njema kabisa watu wa jmbo la Ismani wanahtaji msaada..wanahtaji elimu ya uraia,wanahtaji kuamshwa wajitambue na wapge hatua.

Wanapenda mabadliko lakn hawana wa kuwabadili..Vyama mbadala piten uku,nendeni,wafateni hawa wanahtaji msaada...Mbunge wao kakaa toka 1995 lakn hawana ata Maji...tena amehsi upnzani anataka aligawe jimbo kwa Idodi/Isman kwa kutumia kofia ya Waziri wa Bunge Sera na Utaratibu....ambayo ndo kazi yake!

NAWASILISHA!!
 
ingawa ni vibaya kulaani lakini namlaan kabisa hhuyo mwana chadema aliye kula rushwa kutoka kwa hao mabazazi na alaaniwe tena asipone sababu amesababisha wana isimani waendelee kupata mateso
 
Kama elimu ya Lukuvi ni ni darasa la saba, je vipi watu wake watakuwa na elimu gani.. Hakuna alichowapa bali ni umbumbumbu tu wa watu wa jimbo lake
 
Mkuu ulifika kwenye nyumba aliojenga ya kuzugia?
Yaani ili jimbo kila mwaka lazima watangaze baa la nja so do this year a
 
ingawa ni vibaya kulaani lakini namlaan kabisa hhuyo mwana chadema aliye kula rushwa kutoka kwa hao mabazazi na alaaniwe tena asipone sababu amesababisha wana isimani waendelee kupata mateso
Uyu bwana alikuwa tegemeo sana nasikia,wananchi walmpenda na angempa upnzani Mh.Lukuvi,lakn kwa ngvu ya fedha alirubunika na jmbo likawa waz na CCM Ikajtangaza kupita bla kupngwa!Upinzan bdo kuna safar ndefu
 
Mkuu ulifika kwenye nyumba aliojenga ya kuzugia?Yaani ili jimbo kila mwaka lazima watangaze baa la nja so do this year a
Nilifka mkuu...panaitwa Mapogoro!adi Tungamalenga nikapita!nliumia sana jns maisha ya watu wanaozngka Mbuga yenye utajil wakiwa ktk hali ile...kwa kwel hal ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom